Ni kweli ameokota hiyo hela sababu mashahidi walimuona kipindi anaokota na walipo mwambia apeleke polisi au kwa kiongozi wa eneo husika aligoma,mashahidi walilipoti polisi baada ya kupata taarifa nilifungua kesi kwa maelezo yake alikubali mbele ya polisi kwamba kaokota 30000 na sio 350000 Mimi ndio nilioangusha hiyo hela,kama aliokota maana Mali sio yake yaani amefanya wizi WA kuokota kwa kugoma kutoa taarifa sehemu husika???Kesi gani hapo wakati unasena ameokota?
Kwa hiyo ukiokota Mali ya mtu na usitoe taarifa eneo husika na watu walikuona kipindi unaokota na wakakushauri ukakaidi hilo sio kosa.Sababu wizi ni kuhamisha kitu chochote kile kinacho amishika kwa lengo LA kukiibaHakuna kesi hapo
Hakuna kesi hapo[/QUOTE IPO KESI YA STEALING BY FINDING
Pumbavu....iyo inaitwa abuse of due process!Ni kweli ameokota hiyo hela sababu mashahidi walimuona kipindi anaokota na walipo mwambia apeleke polisi au kwa kiongozi wa eneo husika aligoma,mashahidi walilipoti polisi baada ya kupata taarifa nilifungua kesi kwa maelezo yake alikubali mbele ya polisi kwamba kaokota 30000 na sio 350000 Mimi ndio nilioangusha hiyo hela,kama aliokota maana Mali sio yake yaani amefanya wizi WA kuokota kwa kugoma kutoa taarifa sehemu husika???
Cha kuokota c cha kuiba mwenye mali ni njinga