Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

Km 450 kwa lita 60 hio gari itakuwa na tatizo
Inatakiwa kwa safari ndefu iwe 12km per Litre. Mjini stop-go nyingi na full AC: 7km per Litre. Ikila zaidi ya hapo ni tatizo. Anza kwa kucheki plugs, na plug wire kama cheche za ignition zinapita katikati no missfirings
 
Nlijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed ilikuwa 120kph.
View attachment 975910
Nimeshawishika kuchangia hii mada kwani nami natumia gari hii kwa miaka mitano sasa.
Naona watu wanadanganyana kuhusu consumption ya mafuta naomba niseme. Kwa mimi kwa hapa mjini dar inakula km 7.4 mpaka 8 kwa lita. Kwaxsiku natembea km 100 kutoka home kuja town na kurudi.
Nikisafiri ni km10 mpaka 11 kwa lita kwa ufupi ni kwamba kwa safari ambazo nilishafanya kwa speed ya 140pkh - 170kph ni km 10 hadi 11 kwa lita yaani tank moja to Arusha na tank mbili to mwanza. Nafikiri siku nikifanikiwa kwenda kwa speed ndogo itakula kidogo zaidi.
Kumbuka ni Gx110

Aina engine za Gx11

2.0 L 1G-FE petrol I6
2.5 L 1JZ-GE petrol I6
2.5 L 1JZ-FSE direct inject petrol I6
2.5 L 1JZ-GTE turbocharged petrol I6
F11DDB13-D0E4-45DC-83A7-093B66CD2790.jpeg

Nilijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed ilikuwa 120kph. Nimepiga picha hii kuwadhibitishia wanaowadanganya watu kuhusu mark 2 Gx110 waelewe ukweli. Hii gari nina mwaka wa tano nayo na still doing well kikubwa ni kuijali gari.
 
Nlijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed ilikuwa 120kph.
View attachment 975910

View attachment 975914
Nilijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed ilikuwa 120kph. Nimepiga picha hii kuwadhibitishia wanaowadanganya watu kuhusu mark 2 Gx110 waelewe ukweli. Hii gari nina mwaka wa tano nayo na still doing well kikubwa ni kuijali gari.
Full tank yake ni lita 70 boss.
 
naomba nikupe Data za Google Toyota Fuel Consumption kati ya Mark II yenye cc1998 na Corolla yenye cc chini ya 1498 huko kwa wenzatu

Toyota
Model Mark II
Generation Mark II (JZX110)
Engine 2.0 i 24V (160 Hp)
Doors 4
Power 160 hp/6200 rpm.
Maximum speed 190 km/h
Fuel tank volume 70 l
Position of engine Front, longitudinal
Engine displacement 1998 cm3
Number of cylinders 6
Fuel consumption (economy) - urban 14 l/100 km.

Fuel consumption (economy) - extra urban 8 l/100 km.

Kerb Weight 1380 kg.
kwa hiyo lita 14 ni kwa kilomita 100
Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (petrol, 2001) 14.0 l/100km / 16.80 mpg

Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (160 hp, petrol, 2001) - Fuel consumption - urban

Corolla 1.3 Fuel consumption
ToyotaCorolla

Fuel consumption recorded on the launch:
DURBAN:
Average: 5.31 L/100 18.83 Km/L
CAPE TOWN:
Average: 5.61 L/100 17.83 Km/ L
JOHANNESBURG:
Average: 4.88 L/100 20.49 Km/L
All Groups Average: 5.27 L/100 18.98 Km/L
mkuu hapa ulichanganya mada umeongelea jzx110 halafu maelezo yote ya gx110
1jz ina hp 197 na sio 160 ambayo ndo 1g fe
tambua utofauti huo
 
Mkuu mpaka upate 70 ina maana gari iwe empty kabisa maana mimi miaka yote nilijaza ni 60 that is to say sipendi gari iishe kabisa mafuta and thank you for highlighting that part.
Pamoja kiongozi,ila 6 clyinder ina raha yake ukiizoea unaona gari ya 4 clyinder inazingua.
 
mkuu hapa ulichanganya mada umeongelea jzx110 halafu maelezo yote ya gx110
1jz ina hp 197 na sio 160 ambayo ndo 1g fe
tambua utofauti huo
Kweli mkuu ila nina imani umeelewakuwa gari niliyokuwa nailenga ni gx110 na vinginevyo. Hizo daya nilipaste from site na ukiingia kwa hiyo site hata leo ukaseqrch gx inakuletea marlezo ya jzx
 
nimekuelewa ila wasiojua sana watajua 1jz ndo ina cc1998 kumbe hio ni 1g fe...
kati ya hizi mbili 1g ndo economy kidogo kuliko 1jz ambayo ndo hio hio kwenye brevis na mark 2 blit na some of verosa
Kweli mkuu ila nina imani umeelewakuwa gari niliyokuwa nailenga ni gx110 na vinginevyo. Hizo daya nilipaste from site na ukiingia kwa hiyo site hata leo ukaseqrch gx inakuletea marlezo ya jzx
 
Binafsi kwa uzoefu wangu kutumia gx 110 (miaka 2)
Route za mjini inatembea kati ya km 7 - mpaka 8km kwa litre 1.

Kwa masafa marefu nimegundua vitu viwili kutoka kwenye hii gari

1. Ukitembea speed chini 100 hasa 80, fuel consumption yake inapungua.

2. Ukitembea speed zaid ya 100 inakula mafuta sana, ni gari yenye mtindo wa kutegemea ukanyagaji wa wafuta; jinsi unavyokanyaga mafuta fuel consumption inaongezeka.

Huu ndio uzoefu wangu halisi juu ya hii gari..

Uzuri wake ni gari comfortable, barabarani imetulia hasa masafa marefu.
 
Mkuu nimekuelewa vyema na nakibaliana na wewe kwa confortable na kitulia barabarani na kuongezea unaweza kuwa speed kubwa ila ilivyotulia usijue kama uko speed kubwa. ila napingana na wewe kwenye namba 2 mimi. nimesafiri nayo mara nyingi kiasi kwa route ya arusha, mwanza na Dar. Na ninakiri huwa ninakimbia sana kasoro safari ya juzi ndio mara ya kwanza kutembea 120kph mara nyingi speed yangu ni 140kph mpaka 170kph na consumption huwa 10km per lita mpaka 10.kadhaa km per lita. Sijaelewa unaposema inakula sana unamaanisha kwa kiasi gani?!
 
Binafsi nimeota maelezo kulingana uzoefu wangu kwenye route ndefu! Unaweza majaribio ukapata uhalisia.

Nimeshawai kusafiri nayo kutoka Moro mpk Mwanza kwa speed ya wastani wa 140, niliweka mafuta full tank Mara 3 (kwa mchanganuo kwa kwamba kipindi hicho over 3yrs back full tank nilikuwa najaza kwa laki na 20, kwahiyo nilitumia km laki 3 na point) Hapo sikuwa na uzoefu juu ya uhusiano uliopo katika kukanyaga mafuta na fuel consumption.

Nilifanya majaribio katika safari yangu moja kutoka Mwanza mpaka Tabora
(Kwenda nilikuwa natembea around 130 to 140 ila kurudi nilikuwa natembea around 80 - wakati narudi nilikuwa nimebeba familia tunarudi kwahiyo wakaniomba nitembee speed ya kawaida sana maaana walihofia mwendo wng sana. Kwahiyo nikajikuta natembea speed ya around 80)

Nilipofika Mwanza nikagundua kurudi nimetuma less fuel kuliko kwenda.

Km hauamini jaribu kufanya majaribio hata kwa km 100 high way utaelewa concept TNG.
 
Nilijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed ilikuwa 120kph. Nimepiga picha hii kuwadhibitishia wanaowadanganya watu kuhusu mark 2 Gx110 waelewe ukweli. Hii gari nina mwaka wa tano nayo na still doing well kikubwa ni kuijali gari.
Kweli mkuu ila nina imani umeelewakuwa gari niliyokuwa nailenga ni gx110 na vinginevyo. Hizo daya nilipaste from site na ukiingia kwa hiyo site hata leo ukaseqrch gx inakuletea marlezo ya jzx
wengi naona hatukuelewana hasa nilipotoa mfano wa gari nyingine za kijapani zinazokula mafuta kidogo hadi litre 1 kwa kilomita 20
mm yangu inakula lita moja kwa 18km na ndio maana naweza enda Dar toka Dodoma kwa sh 50,000/ kwa hiyo naweza kwenda na kurudi kwa 100,000
Dom -Dar 450km @ 18ltr = 25 huku bei ya petrol ni km 2950/ (2,500/)
na sasa changanya gari za injini zote iwe 110 jzx au hiyo 110 1g fe sasa linganisha na Corolla
Model Mark II
Fuel tank volume 70 l
Engine displacement 1998 cm3
Number of cylinders 6
Fuel consumption (economy) - urban 14 l/100 km.
Corolla 1.3 Fuel consumption
ToyotaCorolla

Fuel consump
Average: 5.31 L/100 18.83 Km/L
CAPE TOWN:
Average: 5.61 L/100 17.83 Km/ L
JOHANNESBURG:
Average: 4.88 L/100 20.49 Km/L
All Groups Average: 5.27 L/100 18.98 Km/L
 
Finally back to dar. My consumption ilikuwa ndigo zaidi ya kwenda as per picture hapo nilifika dar na kufanya mizunguko kadhaa ndio ikawaka taa
CCF06FA2-C177-4740-909C-2F1B72F8E708.jpeg
 
Binafsi nimeota maelezo kulingana uzoefu wangu kwenye route ndefu! Unaweza majaribio ukapata uhalisia.

Nimeshawai kusafiri nayo kutoka Moro mpk Mwanza kwa speed ya wastani wa 140, niliweka mafuta full tank Mara 3 (kwa mchanganuo kwa kwamba kipindi hicho over 3yrs back full tank nilikuwa najaza kwa laki na 20, kwahiyo nilitumia km laki 3 na point) Hapo sikuwa na uzoefu juu ya uhusiano uliopo katika kukanyaga mafuta na fuel consumption.

Nilifanya majaribio katika safari yangu moja kutoka Mwanza mpaka Tabora
(Kwenda nilikuwa natembea around 130 to 140 ila kurudi nilikuwa natembea around 80 - wakati narudi nilikuwa nimebeba familia tunarudi kwahiyo wakaniomba nitembee speed ya kawaida sana maaana walihofia mwendo wng sana. Kwahiyo nikajikuta natembea speed ya around 80)

Nilipofika Mwanza nikagundua kurudi nimetuma less fuel kuliko kwenda.

Km hauamini jaribu kufanya majaribio hata kwa km 100 high way utaelewa concept TNG.
Nakubaliana na hii hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza hii ECT SNOW kwenye gar yangu GX 110 GRAND MARK II ina faida gani na matumizi gani...!?
 
Katika gari ndogo gx110 ni roho ya paka hata ulaji wake mafuta waungwana wasikutishe inakula kawaida mkuu ninayo mwaka wa pili rough road ndo njia nayotumia mkuu tena siyo ya kitoto
Naomba kujua hii ETC SNOW ina maana gan na faida gani kwenye
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom