Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 478
- 1,047
- Thread starter
- #41
Kiongozi mmoja mkubwa mstaafu hapa Nchini aliwahi kusema " Ukitaka kula sharti ukubali kuliwa".mkuu shida ya Sweden Scholarship lazima ulipe application fee for addmision
Kwahiyo kutoa admission fee ya takribani Tsh 230,000 ili upate Scholarship ya mamilioni siyo hasara kubwa Mkuu.!