Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Akikujibu nitagMkuu umefanya application kwa site gan? Naweza pata full funded scholarship huko? Nipe muongozo nahitaji masters degree
Mkuu umefanya application kwa site gan? Naweza pata full funded scholarship huko? Nipe muongozo nahitaji masters degree
Kama Akikujibu nitag
Mkuu umefanya application kwa site gan? Naweza pata full funded scholarship huko? Nipe muongozo nahitaji masters degree
Mkuu umefanya application kwa site gan? Naweza pata full funded scholarship huko? Nipe muongozo nahitaji masters degree
Kazi kwenu Wakuu. Nshaweka kila kitu mezani. Kazi yenu kupakua.Kama Akikujibu nitag
Kazi kwenu Wakuu. Nshaweka kila kitu mezani. Kazi yenu kupakua.
Mkuu kipengele cha English proficiency umetumia nini, ulipiga mtihani wa TOEFL au maana hicho kipengele huwa kinazingua sanaThe Swedish Institute Scholarship for Global Professionals
A full-ride scholarship awarded to ambitious global professionals for full-time master's studies in Sweden.si.se
Hiyo ndo Link Wakuu.
Mkuu siyo nchi zote za Ulaya wanahitaji ufanye mitihani ya TOEFL na IELTS hasa hasa Nchi ambazo lugha yao ya Taifa siyo Kingereza. Baadhi ya Nchi ambazo huhitajiki kufanya mitihani hiyo ni Netherlands, Germany na Sweden.Mkuu kipengele cha English proficiency umetumia nini, ulipiga mtihani wa TOEFL au maana hicho kipengele huwa kinazingua sana
Okay, nimekupataMkuu siyo nchi zote za Ulaya wanahitaji ufanye mitihani ya TOEFL na IELTS hasa hasa Nchi ambazo lugha yao ya Taifa siyo Kingereza. Baadhi ya Nchi ambazo huhitajiki kufanya mitihani hiyo ni Netherlands, Germany na Sweden.
Hiyo mitihani inahitajika zaidi ukitaka Scholarships za UK, USA na Nchi nyingine za Ulaya ambazo lugha ya Taifa ni kimombo.
Mkuu hizo site zinawahusu masters pekee au hata bachelor (specifically civil engineering)Mkuu siyo nchi zote za Ulaya wanahitaji ufanye mitihani ya TOEFL na IELTS hasa hasa Nchi ambazo lugha yao ya Taifa siyo Kingereza. Baadhi ya Nchi ambazo huhitajiki kufanya mitihani hiyo ni Netherlands, Germany na Sweden.
Hiyo mitihani inahitajika zaidi ukitaka Scholarships za UK, USA na Nchi nyingine za Ulaya ambazo lugha ya Taifa ni kimombo.
Mkuu, sina hakika sana kuhusu bachelors. Maana sijajibiidisha sana kufahamu kuhusu bachelors. Kwa kiasi kikubwa macho yangu niliyaelekeza kwenye masters.Mkuu hizo site zinawahusu masters pekee au hata bachelor (specifically civil engineering)
Nashukuru Mkuu. Yupo pia Sweden?Mtafute @Jonstefano mtaalamu wa box yupo humu
Mji unaokwenda ni mji mdogo. Na kwa uzoefu wangu nchi za Ulaya kupata kazi ukiwa miji kama hiyo ni changamoto kidogo. Ila usikate tamaa. Inaweza kuchukuwa muda kuipata lakini nina uhakika utapata cha kufanya. Hiyo University bila shaka itakuwa na foreigners wengi na kutoka Afrika hawakosekani. Hao hao ndiyo watakupa maujanja ya kazi utakapofika. Kama unafanya tizi la lugha nalo ni vizuri ila hizi kazi za mitulinga lugha siyo muhimu sana japo inakupa advantage fulani hasa kunapokuwa na applicants wengi. Pia muda wa summer shule na vyuo Ulaya huwa vinafungwa kwa muda mrefu. Unaweza kutumia huo muda kwenda sehemu zenye kazi kwa wingi na kufanya. Mji kama Stockholm una watanzania/waafrika wengi na jaribu kujenga connection nao ili upate urahisi wa sehemu ya kukaa wakati wa kufanya kazi.Nashukuru Mkuu. Yupo pia Sweden?
Mkuu. Nakushukuru sana kwa kunipa ushauri mzuri namna hii.Mji unaokwenda ni mji mdogo. Na kwa uzoefu wangu nchi za Ulaya kupata kazi ukiwa miji kama hiyo ni changamoto kidogo. Ila usikate tamaa. Inaweza kuchukuwa muda kuipata lakini nina uhakika utapata cha kufanya. Hiyo University bila shaka itakuwa na foreigners wengi na kutoka Afrika hawakosekani. Hao hao ndiyo watakupa maujanja ya kazi utakapofika. Kama unafanya tizi la lugha nalo ni vizuri ila hizi kazi za mitulinga lugha siyo muhimu sana japo inakupa advantage fulani hasa kunapokuwa na applicants wengi. Pia muda wa summer shule na vyuo Ulaya huwa vinafungwa kwa muda mrefu. Unaweza kutumia huo muda kwenda sehemu zenye kazi kwa wingi na kufanya. Mji kama Stockholm una watanzania/waafrika wengi na jaribu kujenga connection nao ili upate urahisi wa sehemu ya kukaa wakati wa kufanya kazi.
ShukranThe Swedish Institute Scholarship for Global Professionals
A full-ride scholarship awarded to ambitious global professionals for full-time master's studies in Sweden.si.se
Hiyo ndo Link Wakuu.
mkuu shida ya Sweden Scholarship lazima ulipe application fee for addmisionThe Swedish Institute Scholarship for Global Professionals
A full-ride scholarship awarded to ambitious global professionals for full-time master's studies in Sweden.si.se
Hiyo ndo Link Wakuu.