Ushauri kuhusu Fursa za kazi za muda(Vibarua) zilizopo Sweden

Mkuu umefanya application kwa site gan? Naweza pata full funded scholarship huko? Nipe muongozo nahitaji masters degree
 
Mkuu kipengele cha English proficiency umetumia nini, ulipiga mtihani wa TOEFL au maana hicho kipengele huwa kinazingua sana
Mkuu siyo nchi zote za Ulaya wanahitaji ufanye mitihani ya TOEFL na IELTS hasa hasa Nchi ambazo lugha yao ya Taifa siyo Kingereza. Baadhi ya Nchi ambazo huhitajiki kufanya mitihani hiyo ni Netherlands, Germany na Sweden.

Hiyo mitihani inahitajika zaidi ukitaka Scholarships za UK, USA na Nchi nyingine za Ulaya ambazo lugha ya Taifa ni kimombo.
 
Okay, nimekupata
 
Mkuu hizo site zinawahusu masters pekee au hata bachelor (specifically civil engineering)
 
Mkuu, sina hakika sana kuhusu bachelors. Maana sijajibiidisha sana kufahamu kuhusu bachelors. Kwa kiasi kikubwa macho yangu niliyaelekeza kwenye masters.
 
Nashukuru Mkuu. Yupo pia Sweden?
Mji unaokwenda ni mji mdogo. Na kwa uzoefu wangu nchi za Ulaya kupata kazi ukiwa miji kama hiyo ni changamoto kidogo. Ila usikate tamaa. Inaweza kuchukuwa muda kuipata lakini nina uhakika utapata cha kufanya. Hiyo University bila shaka itakuwa na foreigners wengi na kutoka Afrika hawakosekani. Hao hao ndiyo watakupa maujanja ya kazi utakapofika. Kama unafanya tizi la lugha nalo ni vizuri ila hizi kazi za mitulinga lugha siyo muhimu sana japo inakupa advantage fulani hasa kunapokuwa na applicants wengi. Pia muda wa summer shule na vyuo Ulaya huwa vinafungwa kwa muda mrefu. Unaweza kutumia huo muda kwenda sehemu zenye kazi kwa wingi na kufanya. Mji kama Stockholm una watanzania/waafrika wengi na jaribu kujenga connection nao ili upate urahisi wa sehemu ya kukaa wakati wa kufanya kazi.
 
Mkuu. Nakushukuru sana kwa kunipa ushauri mzuri namna hii.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom