Ushauri kuhusu Foundation Course

Nalysee

New Member
Nov 28, 2016
4
5
Habar zenu wana jamvi..

Mimi ni mwanafunzi ambaye nilimaliza kozi ya Foundation ya Open University na kufaulu. Pia hadi sasa tayari chuo kimeshaniruhusu kuanza mwaka wa kwanza degree, lakini tatzo linakuja vipi kuhusu kauli za Waziri wa Elimu kuhusu course hiyo.

Msaada wenu tafadhali, je niendelee na degree au niache?
 
Sasa watu kama nyie ndalichako alikuja kwenye sherehe yenu ya kumaliza na magufuli juzi tu hapo open main campus ya pwani na umemsikia amemkatalia VC wa chuo chenu kuendesha foundation course yoyote ile na kudahili watu direct Tena amesema kua udahili wote utafanywa n.a. TCU n.a. kuzuia open kuchukua wanafunzi

Wewe bado unataka kwenda tu don't waste your money and time unless kama unataka kuregret baadae kwa jinsi nilivyomsikia pale open kwenye graduation yeye pamoja n.a. magu uliza mtu yeyote aliyekuwepo pale open ndo atakuambia waziri kamkatalia VC wa chuo live live mbele ya watu wote
 
Habar zenu wana jamvi..

Mimi ni mwanafunzi ambaye nilimaliza kozi ya Foundation ya Open University na kufaulu. Pia hadi sasa tayari chuo kimeshaniruhusu kuanza mwaka wa kwanza degree, lakini tatzo linakuja vipi kuhusu kauli za Waziri wa Elimu kuhusu course hiyo.

Msaada wenu tafadhali, je niendelee na degree au niache?
Pole sana ndugu yangu mama waziri wa elimu kashafunika tayar You have no chance to apply for degree program studies
 
Back
Top Bottom