Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi pata faida, unless unataka kuuza kwa bei za moven pick.
Sawa sawa Mkuu naomba Muongozo kwa wakti huu samaki wa baharini upatikanaji wao uko vipi?Samaki wana msimu kaka kuna msimu wapo wengi na kuna msimu wapo wachache sasa wajanja wanafanya hivi! Hawawi spec kwenye wa baharini tu yaani wa baharini wakigoma wanadeal na wa Maji baridi au wa NYUMBA ya Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kwa Ushauri nimetenga hiyo kwaajili ya ujenzi wa kibanda na meza ya kuuzia badoMtaji wa 350,000 ni mkubwa sana kwa biashara ya samaki wa kukaanga inategemea na eneo 200,000 inatosha kwa kuanzia
1.Jitahidi uanze biashara kipindi ambacho samaki wanapatikana kwa wingi
2.Kuna option ya kuwakaangia kule ferry unakuja kuwakaanga mwenyewe(kuna wateja watanunua samaki kama wakiowaona wabichi) Pia kuwa mwangalifu na mafuta yanayotumika kukaangia samaki
3.Nunua samaki ambao wanapendwa na watu wengi (dagaa mchele,vibua,pweza,ngisi,jodari,changu) na wale wa bei nafuu
Nashukuru sana kwa Ushauri nimetenga hiyo kwaajili ya ujenzi wa kibanda na meza ya kuuzia bado
Lakini Hamna shida ikibaki kiasi itakuwa kama hela ya emergency l
Alafu Mkuu Vitu gani vingine vya msingi vya kuzingatia kabla sijaanza ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Mkuu kwa ushauri wako nadhani hayo nitayasimamia kwa vijana wayatekelezeKama utakaanga mwenyewe hakikisha una uhakika wa mafuta ya kukaangia na kuni/gas
Uwe na vyanzo tofauti vya kununua samaki
USAFI wa eneo USAFI wa samaki USAFI wa muuzaji
Customer care
Affodable price kulingana na eneo ulilopo
Ulitaka tushirikianaje Mkuu naomba uwe specific?Tushirikishane mkuu ila mimi nipo mkoani japo naweza kuja Dar tufanye kaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Mkuu inaonekana ww unauza wa maji baridi naomba unipe mambo ya msingi ya kuyazingatia ?In biashara nzuri sana ila usikubali kukaangiwa..tengeneza mwenyewe upgrade biashara iwe na upekee
Shukrani lakini mm nilikuwa interested na Samaki wa Baharini kwanza naona ndio wanakimbiza sana kwa sasa kama Kolekole ,Changu, Saladini ,Dagaa mchele na Mapande ya Sangara naona ndio wana kimbiza sana sokoni hao Perege bado cjaanza kuuzaCha kwanza uwe na freezers mbili..moja ya mabarafu pekeake moja ya samaki na cool box moja..yaweza kuwa hats friji mbovu.
Chapili uwe na connection za vyanzo vya uhakika vya samaki..
Cha tatu wajue samaki kiundani hii itakusaidia kujua ubora wake.
Cha nne.. Target soko lako na utafute mtindo ambao utawatengeneza samaki wako ili akitokea pirates yoyote basis ashindwe kukupokonya soko lako