Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,601
- 4,086
usijiulize sana unapotaka kufanya biashara we jilipue tu somo utalipata uko uko, usiiogope pesa tumeikuta duniani mkuu,
MKUU,
UMEMPA MWONGOZO KWA HISIA KALI SANA MKUU!!!
usijiulize sana unapotaka kufanya biashara we jilipue tu somo utalipata uko uko, usiiogope pesa tumeikuta duniani mkuu,
Nilikuwa nafanya mwaka jana hapo mkuu ..soko lake kule namibia ni kubwa mnoo, sujajua kwa sasa kama mipaka ipo wazi ..mimi nilisimama kidogo ila nikiona gape narudi sokoni.Kumbe ww unafanya biashara nyingi tupe detail gharama za kupeleka huko
Ulikuwa unapeleka kwa basi.Nilikuwa nafanya mwaka jana hapo mkuu ..soko lake kule namibia ni kubwa mnoo, sujajua kwa sasa kama mipaka ipo wazi ..mimi nilisimama kidogo ila nikiona gape narudi sokoni.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
tupe muongozo mkuu ulikuwa wapeleka kwa bus au??Nilikuwa nafanya mwaka jana hapo mkuu ..soko lake kule namibia ni kubwa mnoo, sujajua kwa sasa kama mipaka ipo wazi ..mimi nilisimama kidogo ila nikiona gape narudi sokoni.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app