Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Changamoto kama zipi?

Faida na hasara zikoje?
Changamoto haswa ni pads kama unatumia pad fake mkuu itakuwa ni hasara kwako huwa zinaharibika haraka sana. Pia tumia game zile kubwa kuliko vile vidogo zile kubwa zinahimili shughuli ya kutumika siku nzima.

Eneo lazima liwe la watu wengi sana haswa katika maeneo ya uswazi na familia za maisha ya kati ila ushuani hapafai.
ukiwa na gemu nyingi ndo unavyopata faida kubwa zaidi, pia ukiweza hapo hapo unachanganya na biashara nyingine ya kuuza games au pads haswa haswa vitu vinavyo husu games kwa ujumla.
 
Habari ya mda huu,

Mimi ni kijana nategemea kumaliza chuo mwez July natafuta kitu cha kufanya niweze kujikimu pale boom litakapokata. Mwenye uzoefu au ufaham wa hii biashara ya kuchezesha playstation games naomba anijuze. Namaanisha,

1. Minimum capital nayotakiwa kua nayo kwa maana ya kununua vtu muhmu.

2. Jinsi gani ya kuendesha ili jifaidike.

3. Ushauri wowote wa kibiashara maana hii itakua biashara yang ya kwanza.
 
Nimefanya hiyo biashara mwaka jana.iko na faida na hasara zake aghalabu changamoto ni nyingi.

Kwa kuwa mimi nafanya kazi Zanzibar nilinunua kila kitu hapa.sasa kilichonikuta

Ili bidii nimpatie jamaa yang tv na magem anisafirishie mpaka morogoro mana kazi zilinibana sikupata chance ya kuvisafirisha.

Nilimuamin jamaa kwa kuwa yeye ndo kazi zake na ila alichonifanya nimuachie Yehova.

Mimi niliamua kuanza na tv tano na ps2 tano.

Kila tv nilinunua 70000tsh@1
Dek za ps nazo 70000tsh@1
Mikono ya ps 9000tsh@1
Flash gb 8 7000tsh@1
Memory za dek 3000tsh@1
Waya sauti 2000tsh@1
Switch cable 30000tsh
@1 zidisha mara 5.
Usafiri inategemea.

Sasa hapa kodi inategemea pamoja na mabench na meza.

Lazima upate maeneo yenye watoto wengi"uswahilini"

Umeme makubaliano yenu. Ukipata luku yako ni mali.

CHANGAMOTO

TV sehemu ya picha na saut isiwe ya kashata.tv itakua inabagua magemu rangi

Magemu ya baiskel na ngumi yanauwa sana mikono(pad).so inabidi uwe mwangalifu.na bei isiwe sawa na magem ya mpira Kama ukifungua asubuh kuna uwezekano wa kutupiwa lawama na wazaz. Watoto hawaendi shule wanashinda kwenye magemu.

Nimefunga biashara baada ya kuandamwa na wenyeviti wa mitaa nifungue jion.ili vijana wao waende shule. Magemu ni muda na ukifungua jion hupati faida. Nikashindwa

FAIDA
NIKIFUNGUA MAPEMA NA WATOTO WAKIWA WENGI NAPATA HADI TSH 25000
 
Nimefanya hiyo biashara mwaka jana.iko na faida na hasara zake aghalabu changamoto ni nyingi.

Kwa kuwa mimi nafanya kazi Zanzibar nilinunua kila kitu hapa.sasa kilichonikuta

Ili bidii nimpatie jamaa yang tv na magem anisafirishie mpaka morogoro mana kazi zilinibana sikupata chance ya kuvisafirisha.

Nilimuamin jamaa kwa kuwa yeye ndo kazi zake na ila alichonifanya nimuachie Yehova.

Mimi niliamua kuanza na tv tano na ps2 tano.

Kila tv nilinunua 70000tsh@1
Dek za ps nazo 70000tsh@1
Mikono ya ps 9000tsh@1
Flash gb 8 7000tsh@1
Memory za dek 3000tsh@1
Waya sauti 2000tsh@1
Switch cable 30000tsh
@1 zidisha mara 5.
Usafiri inategemea.

Sasa hapa kodi inategemea pamoja na mabench na meza.

Lazima upate maeneo yenye watoto wengi"uswahilini"

Umeme makubaliano yenu. Ukipata luku yako ni mali.

CHANGAMOTO
TV sehemu ya picha na saut isiwe ya kashata.tv itakua inabagua magemu rangi

Magemu ya baiskel na ngumi yanauwa sana mikono(pad).so inabidi uwe mwangalifu.na bei isiwe sawa na magem ya mpira

Kama ukifungua asubuh kuna uwezekano wa kutupiwa lawama na wazaz. Watoto hawaendi shule wanashinda kwenye magemu.

Nimefunga biashara baada ya kuandamwa na wenyeviti wa mitaa nifungue jion.ili vijana wao waende shule.
Magemu ni muda na ukifungua jion hupati faida. Nikashindwa

FAIDA
NIKIFUNGUA MAPEMA NA WATOTO WAKIWA WENGI NAPATA HADI TSH 25000
Nashukuru sana mkuu kwa mchango wako.
 
Hii biashara inalipa Sana lakini Si kwa kipindi hiki cha Magufuli. Nimeshuhudia watu waliofanikiwa na biashara hii ambao walikuwa wanaingiza mpaka elfu60 kwa siku, lakini leo wakijitahidi Sana elfu35.

Sababu ni wenyekiti wa serikali za mitaa(hasa dar es salaam) kuchachamaa wakiogopa kutumbuliwa
Pia sababu nyingine ni kutokana na wazazi kulalamika watoto wao hawaendi shule badala yake wanaishia PS. Baadhi ya mitaa PS game zinafunguliwa saa8 mchana.
 
Kingine ni PADI (controller)

Hizi zinaweza zikaifilisi biashara yako ya PS at any time. Cha msingi ni kuwa makini na uchaguzi wa padi coz kuna zinazouzwa elfu5 na nyingine mpaka elfu30
 
Wakuu
Nina shida ya kununua Playstation Kwa ajili ya kucheza gemu za football. Sasa sijui kati ya PS 2 na PS 3 ipi ni nzuri Kwa football.
Vilevile sijui bei ni sh ngapi, Kwa msaada anaejua bei, matumizi au anaeuza vilevile.
 
Kabla ya kujua bei ulikua upo tayari kutenga kiasi gani, jibu hapo then utapata chaguo zuri kulingana pesa yako.
 
Kama ni matumizi yako mwenyewe PS3, kama biashara PS2 hii ni imara sana. PS3 ghali zaidi ya hiyo nyingine. Pia kuna PS4 mfuko ukiwa vema. Kujua zaidi Google utapa maelezo ya kila moja
 
Back
Top Bottom