Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Nasoma Advance nataka nikaanzishe biashara ya kuchezesha games PS2 mkoani. Nina mtaji wa kuanza na console
Naombeni ushauri, mwongozo, changamoto n.k juu ya biashara hii.

Asanteni

Umeme sio wa uhakika Pad zinaharibika mapema sana. Soko lipo kubwa sana.
 
Hizo game Siku hizi watoto wananunuluwa na kuwekewa home hazina issue hizo.
 
Wadau niaje ningependa kujua ni mtaji kiasi gani unaitajika kuchezesha video games na faida na hasara zake karibu tuchanganue hii fursa.
 
Mtaji wa video game inategemea na wewe ungependa uanzaje, niliwahi kufanya hii kitu unaweza nitafuta nikakuelekeza.
 
Hii video games ni biashara nzuri kama utachezesha mwenyewe au kupata kijana mwaminifu. Andaa si chini ya 2.5m kama mtaji ambapo utazitumia kununua PS2, TV flat, kodi nk. Hiyo ni kwa centre yenye kiwango kizuri kwa kuanzia. Kama utataka kufungua ili mradi umefungua itakugharimu chini zaidi ya 2.5m.
 
Habari za mda huu wanajukwaa wa JF,

Kwanza kabisa tusiache kumwombea mwanzilishi wa JF ili aweze kushinda kesi yake .Twende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.

Ninampango wa kufungua biashara ya kuchezesha magemu yaani playstation.Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ningepanda wanijuze kama nitakuwa nimewekeza pesa yangu mahali sahihi au nitakuwa nimekosea maana katika biashara hatukatai suala la hasara lipo lakini inapokuja nakuzidi inakuwa ni tatizo.

Naombeni mawazo yenu wana jukwaa hili nategemea mawazo yenu.
 
Habari za mda huu wanajukwaa wa JF

Mkuu hiyo biashara ni nzuri sana changamoto zipo ila za kawaida tu.
 
changamoto kama zipi?

Faida na hasara zikoje?
Ni biashara nziri hasa sehemu za uswazi kulikochangamka ila pia upate kijana mzuri wa kusimamia.

Hapo utakuwa ni mwendo wakubadili tu game pads baada ya muda ukiwa na console chiped ni bora zaidi kuliko kutumia CD.

mimi nimewahi kuifanya ila mwaka jana mwez wa nane nikafunga kwasababu kijana alisafiri nikakosa msimamiz mzuri ila nataka kurudi na idea kubwa zaidi ya hayo hayo madude lakini kwa ubunifu mkubwa zaidi.

Wazo langu bado nimelihifadhi
 
Habari za mda huu wanajukwaa wa JF

Kwanza kabisa tusiache kumwombea mwanzilishi wa JF ili aweze kushinda kesi yake .Twende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.

Ninampango wa kufungua biashara ya kuchezesha magemu yaani playstation.Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ningepanda wanijuze kama nitakuwa nimewekeza pesa yangu mahali sahihi au nitakuwa nimekosea maana katika biashara hatukatai suala la hasara lipo lakini inapokuja nakuzidi inakuwa ni tatizo.

Naombeni mawazo yenu wana jukwaa hili nategemea mawazo yenu..
Playstation inalipa sana mitaa ya uswazi na msimamizi mzuri ukiwa nae utafurahi pia kwa sababu ya vumbi usitumie CD tumia flash pia uwe na na pad za kutosha ni vema ukatenga maalumu kwa ajili ya mpira na nyingine kwa michezo mingine.
 
Back
Top Bottom