Tupe maujanja mzeyaKuchukua milioni 2 laki 6 hadi 8 kununua TVS au Boxer na kumpa mtu akuletee elfu 10 kwa siku na baada ya miezi 13 pkpk sio yako ni matumizi mabaya ya akili. Risk ni kubwa sana, madereva wengine wanajichanja hadi viwembe wanakwambia imeibiwa. Siku hizi hata GPS mwizi akishirikiana na dereva wanafanikiwa. 2.8 mil ni pesa nyingi sana waweza fanya mengi kuingiza pesa nyingi tu. Nakushauri jipe muda ufanye research, mambo ya kufanya na 2.8 au 5.6 ya pkpk 2 ni mengi sana.