Wazoefu, hebu nisaidieni kunishauri ni wapi sehemu nzuri kufanya kazi kati ya DRC congo hasa kivu/au Goma ukilinganisha na kufanya kazi Sudani kusini.Assume Mshahara ni sawa wa sh 15 Million kwa Mwezi za TZ
Mkuu kama kuna deal hata la kujitolea huko tushtuane. Sisi ndio sisi hao wengine ni mafisi.Wazoefu, hebu nisaidieni kunishauri ni wapi sehemu nzuri kufanya kazi kati ya DRC congo hasa kivu/au Goma ukilinganisha na kufanya kazi Sudani kusini.Assume Mshahara ni sawa wa sh 15 Million kwa Mwezi za TZ