Ushauri: Kufanya kazi kwenye mashirika ya wakimbizi DRC Vz South Sudan wapi bora?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,194
5,339
Wazoefu, hebu nisaidieni kunishauri ni wapi sehemu nzuri kufanya kazi kati ya DRC congo hasa kivu/au Goma ukilinganisha na kufanya kazi Sudani kusini.Assume Mshahara ni sawa wa sh 15 Million kwa Mwezi za TZ
 
Nenda DR Congo. Goma na Bukavu ni sehemu nzuri na kama sio deep field, familia wanaweza kukutembelea. Only disadvantage ni kwamba utastruggle na Kifaransa japo Goma watu wengi sana wanaongea Kiswahili.

South Sudan ni kugumu mno nje ya Juba. Nina uzoefu kufanya kazi kote.
 
Come pm mkuu
Wazoefu, hebu nisaidieni kunishauri ni wapi sehemu nzuri kufanya kazi kati ya DRC congo hasa kivu/au Goma ukilinganisha na kufanya kazi Sudani kusini.Assume Mshahara ni sawa wa sh 15 Million kwa Mwezi za TZ

One plus+
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom