Ushauri: King'amuzi cha mrembo kimenitisha

faabroz

JF-Expert Member
May 26, 2009
286
69
Naamini muwazima humu JF
Najitokeza kuomba ushauri.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28, kwa siku za hivi karibuni nilivutiwa na dada/mrembo nikamuomba kampani badae ili aje awe mke nimeenda kama miez 7/8 baada ya hapo IKABIDI nimuombe GAME/ TUVUNJE AMRI YA 6, kwakuwa tumedumu hiyo miez 7/8 akanikubalia.

SIKU YA TUKIO, baada ya kuja kwangu kama kawaida tukaanza kushikana hatimaye tukawa watupu, SASA KILICHONITISHA HADI NIOMBE USHAURI NI KUWA ILEKUANGALIA KING'AMUZI(CRITORISIS/KINEMBE) CHAKE KILINITISHA MAANA NI KIREFU SI KAWAIDA AKIKAA KINAONEKANA KIMEGUSA SHUKA.

Nilijitajid nikpiga mzigo ila PHYSCOLOGY SIPO SAWA HATA ILE NDOTO ya kuwa aje awe mke imeaanza kutoweka
naomba ushauri kama haya ni maumbile sahihi??, maana nilikopita huko sijaona.
ahsante kwa ushauri wenu!!!
 
kila mtu ameumbwa kivyake mkuu,after all ndoa sio migegedo pekee,jiulize umeumia kutokana na umbile lake hilo?ulimpendea nini?ana sifa zifaazo kuwa mke ndani ya nyumba na kujenga familia?na kama ulimpenda kikweli ukiwa na ndoto za kujenga familia pamoja naye hapo baadaye na si kwa ajili ya tamaa zako tu za kimwili nadhani hiyo si sababu ya kumwacha mtarajiwa wako,huenda hata wewe una mapungufu mwilini mwako uliyoumbiwa nayo na sidhani kama utafurahi kuachwa na mtu umpendaye kwa ajili ya kasoro hzio so think twice mkuu.
 
Hahaaa hivyo ni vile vinavyoweza kurecord vipindi, kugandisha picha na ku rewind. Ni ving'amuzi vinavyotafutwa sana mjini. Bahati mbaya ni adimu sana kupatikana na anayekipata kamwe hakiachii.

Hivyo kijana badala ya kusikitika ni vyema ungemshukuru mungu na jifunze kutumia hizo functionality nilizozitaja hapo juu. Ukitumia kwa kuangalia tu ststion kama vile uko na startimes utakywa hukitendei haki.
 
ungesubiri hadi uoe ndo ufanye mapenzi, usiengeona tofauti yake na wengine maana usingekuwa na wakumlinganisha nae. USIZINI. Muombe Mungu akupe mke mwema anayeendana nawe kitabia na kimaumbile.
 
haa haa haaa sijui niseme weka picha?(joke)
any way nadhan ni maumbile ya kawaida tu. mbona hata miguu yenu ya wengine mikubwa mingine midogo? kama na wanawake wangekuwa wanakuja kuomba ushauri hapa mbona ingekuwa kazi!
 
Mademu wa arusha wengi wamekatwa hiyo kitu, maeneo hayo kwao ni bongw ya kovu chalii angu...! Kwahiyo kama haupendi hiyo kitu nenda arusha
 
Hahaaa hivyo ni vile vinavyoweza kurecord vipindi, kugandisha picha na ku rewind. Ni ving'amuzi vinavyotafutwa sana mjini. Bahati mbaya ni adimu sana kupatikana na anayekipata kamwe hakiachii.

Hivyo kijana badala ya kusikitika ni vyema ungemshukuru mungu na jifunze kutumia hizo functionality nilizozitaja hapo juu. Ukitumia kwa kuangalia tu ststion kama vile uko na startimes utakywa hukitendei haki.

ahaa!! ahaaa! ahaa! !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom