USHAURI: Kila baba wa familia awaapishe watoto wake kutoipigia kura CCM 2015...

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Shime Wakristo na Waislamu na Wapagani kila mtu anaye MUNGU anayemuamini. Kuelekea Uchaguzi mkuu 2015 nashauri wazazi (Baba wa familia) watumie BIBLIA, QURAN au Mizimu (kwa wapagani) kuwaapisha watoto au wategemezi wenye umri wa kupiga kura kutoipigia kura CCM.

Ndani ya kiapo hicho itamkwe kuwa yeyote atakaye ipigia kura CCM alaanike.

Bila kufanya hivyo haya majizi CCM hayatoki Madarakani.....yatahonga sana watu.

Niushauri tuu wandugu, kama nimekuudhi kumradhi.

attachment.php
 
Attachments

  • Katuni Nov 19.jpg
    Katuni Nov 19.jpg
    37.6 KB · Views: 179
Shime Wakristo na Waislamu na Wapagani kila mtu anaye MUNGU anayemuamini. Kuelekea Uchaguzi mkuu 2015 nashauri wazazi (Baba wa familia) watumie BIBLIA, QURAN au Mizimu (kwa wapagani) kuwaapisha watoto au wategemezi wenye umri wa kupiga kura kutoipigia kura CCM. Ndani ya kiapo hicho itamkwe kuwa yeyote atakaye ipigia kura CCM alaanike.
Bila kufanya hivyo haya majizi CCM hayatoki Madarakani.....yatahonga sana watu.
Niushauri tuu wandugu, kama nimekuudhi kumradhi.
usitegemee kumtimua mkoloni mweusi kwa kura bila kuingia magogoni sahau
 
sasa kama watoto mbona haiwaruhusu kupiga kura

Mkuu mtoto kwa mzazi hakui. Wale wote above 18yrs waapishwe kwa kushikishwa vitabu vitakatifu au kwa wale wenzetu mizimu yao ili katu wasiipigie kura CCM.
 
Tuanzie za mitaaa kutekeleza azimio hilo....

Bigup mkuu, mimi nimeshakaa na familia yangu, nimewaeleza dhambi zote wafanyazo CCM juu yetu, kwakweli watoto/wategemezi wangu wamelia sana na wameahidi kamwe kutoipigia kura CCM, pia wameniahidi kuwashawishi na marafiki zao huko makazini na mashuleni wasiipigie kura CCM. Napia wale wote ambao hawajajiandikisha nimewapeleka mwenyewe kuwaandikisha ili waweze kupiga kura tarehe ikifika.
 
Shime Wakristo na Waislamu na Wapagani kila mtu anaye MUNGU anayemuamini. Kuelekea Uchaguzi mkuu 2015 nashauri wazazi (Baba wa familia) watumie BIBLIA, QURAN au Mizimu (kwa wapagani) kuwaapisha watoto au wategemezi wenye umri wa kupiga kura kutoipigia kura CCM. Ndani ya kiapo hicho itamkwe kuwa yeyote atakaye ipigia kura CCM alaanike.
Bila kufanya hivyo haya majizi CCM hayatoki Madarakani.....yatahonga sana watu.
Niushauri tuu wandugu, kama nimekuudhi kumradhi.

Mie nitampa laana atakayewachagua wahuni Ukawa.
 
Waulize wachaggGGGGGAAAAA watakuelezea madhara ya Dhana ya KUAPISHWaaaaaaaa
 
Shime Wakristo na Waislamu na Wapagani kila mtu anaye MUNGU anayemuamini. Kuelekea Uchaguzi mkuu 2015 nashauri wazazi (Baba wa familia) watumie BIBLIA, QURAN au Mizimu (kwa wapagani) kuwaapisha watoto au wategemezi wenye umri wa kupiga kura kutoipigia kura CCM. Ndani ya kiapo hicho itamkwe kuwa yeyote atakaye ipigia kura CCM alaanike.
Bila kufanya hivyo haya majizi CCM hayatoki Madarakani.....yatahonga sana watu.
Niushauri tuu wandugu, kama nimekuudhi kumradhi.

Hii kali jamani mweeee:D:D:D
 
Hiv hii post imepostiwa lini maana tunasubiri selection! By the way kwangu mim kuna karantin mtu yeyote kwangu atakayeipigia kura ccm anakuwa amejifuta kwenye register ya familia! Sina mzaha kwenye hili
Mii 1st born wng Leo anafanya std 4 national exam
 
Back
Top Bottom