YALE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 308
- 379
Mwaka wa NNE huu upo Dar es salaam (Mjini). Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick shigongo (Motivation Speakers)
'How to be a rich' (Zimekupumbaza). Huna hata TOYO ya kuchora. (Huna mafanikio) Mentors wako wanazidi kufanikiwa (Wewe unafilisika kila siku)
My brother,my sister
Unasubiri ruge Akuambie rudi kijijni (halafu nani asikilize clauds ). Au Shigongo akwambie Kalime matikiti au bamia (Muda wa kusoma gazeti LA IJUMAAA utapata wapi.) Hakuna wa Kukubadilisha Zaidi ya WEWE MWENYEWE
Juhudi na ufanisi katika kazi
Ndio mafanikio yako.
'How to be a rich' (Zimekupumbaza). Huna hata TOYO ya kuchora. (Huna mafanikio) Mentors wako wanazidi kufanikiwa (Wewe unafilisika kila siku)
My brother,my sister
- Wadogo zako uliowaacha kule kijijini kwenu
- Hawamjui Ruge wala Erick
- Hawajui Motivation wala inspiration Quotes
- Wana miliki Familia
- Wanaishi kwenye nyumba zao
- Wanakula vizuri hawashindii kipande cha muhindi wa mia(100) kama wewe.