Ushauri: Kijana amka, muda hausimami

YALE

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
308
379
Mwaka wa NNE huu upo Dar es salaam (Mjini). Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick shigongo (Motivation Speakers)

'How to be a rich' (Zimekupumbaza). Huna hata TOYO ya kuchora. (Huna mafanikio) Mentors wako wanazidi kufanikiwa (Wewe unafilisika kila siku)

My brother,my sister
  • Wadogo zako uliowaacha kule kijijini kwenu
  • Hawamjui Ruge wala Erick
  • Hawajui Motivation wala inspiration Quotes
  • Wana miliki Familia
  • Wanaishi kwenye nyumba zao
  • Wanakula vizuri hawashindii kipande cha muhindi wa mia(100) kama wewe.
Kwa sababu akili yako haijiwezi.

Unasubiri ruge Akuambie rudi kijijni (halafu nani asikilize clauds ). Au Shigongo akwambie Kalime matikiti au bamia (Muda wa kusoma gazeti LA IJUMAAA utapata wapi.) Hakuna wa Kukubadilisha Zaidi ya WEWE MWENYEWE

Juhudi na ufanisi katika kazi
Ndio mafanikio yako.
 
wanatakiwa kujua kuwa na knowledge tuu bila kuifanyia kazi haina maana, wanatakiwa wakifanyie kazi wanchokisikia kwa hao ma ispirational speakers wao. Life is worthwhile if you try.
 
Ujumbe mzuri, ila mtoa mada ili pendeza uwaambie nini wafanye kuanzia sasa ili waweze badili status zao mana cyo vjj vyote vinafursa japo wengi mlio mijin mna amin kijijin ni nyezo nzuri zaid
 
Kilimo mkuu
 
Mwaka wa NNE huu upo Dar es salaam (Mjini). Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick shigongo (Motivation Speakers)

'How to be a rich' (Zimekupumbaza). Huna hata TOYO ya kuchora. (Huna mafanikio) Mentors wako wanazidi kufanikiwa (Wewe unafilisika kila siku)

My brother,my sister
  • Wadogo zako uliowaacha kule kijijini kwenu
  • Hawamjui Ruge wala Erick
  • Hawajui Motivation wala inspiration Quotes
  • Wana miliki Familia
  • Wanaishi kwenye nyumba zao
  • Wanakula vizuri hawashindii kipande cha muhindi wa mia(100) kama wewe.
Kwa sababu akili yako haijiwezi.

Unasubiri ruge Akuambie rudi kijijni (halafu nani asikilize clauds ). Au Shigongo akwambie Kalime matikiti au bamia (Muda wa kusoma gazeti LA IJUMAAA utapata wapi.) Hakuna wa Kukubadilisha Zaidi ya WEWE MWENYEWE

Juhudi na ufanisi katika kazi
Ndio mafanikio yako.
Mwana agiza kinywaji chochote unachokunywa hapo kwa bili yako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom