Asnten mkuu,ili kupata IPSUM yard niongeze ngapi?Nina mashaka kama unaweza kupata IPSUM kwa bei hiyo. Chukua RAUM hutapata stress, ni gari ndogo yenye space ya kutosha kwa abiria na mizigo, inakula mafuta kidogo (cc 1450-1500) 13km/Lita. Kwa safari ndefu huna wasiwasi inaenda bila tatizo lolote
AnapataNina mashaka kama unaweza kupata IPSUM kwa bei hiyo. Chukua RAUM hutapata stress, ni gari ndogo yenye space ya kutosha kwa abiria na mizigo, inakula mafuta kidogo (cc 1450-1500) 13km/Lita. Kwa safari ndefu huna wasiwasi inaenda bila tatizo lolote
Si unataka safari ndefu yenye uhakika chukua Brevis Cc 3000 mkuu Mwanza unsgusa tuu yaani king of the roadChukua Brevis
Mkuu hata Mimi BREVIS naipenda sana,ila jamaa haitamfaa kwa town,yeye anasema anaruti mbili tu,so haitamfaa bora achukue RAUMSi unataka safari ndefu yenye uhakika chukua Brevis Cc 3000 mkuu Mwanza unsgusa tuu yaani king of the road
Raum model 2008 ipo comfortable sana,body design,ndani na nje ,fuel consumption ipo poa sana hili toleo ingawa Raum ni Raum lakini kwa toleo hili naona ipo tofauti kidogoWanajamvi ninakapesa kangu ka madafu M 11 nahitaji ushauri kati ya gari hizo mbili ipi nzuri kwani itakuwa na safari mara mbili kwa mwaka kwenda mwanza je ipi kati ya hizo itanifaa?Ulaji wa mafuta, na uimara ipi nzuri?