Ushauri, kati ya NISSAN LAFESTA na HONDA CR-V ipi nzuri?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,354
9,607
Naomba ushauri ili mwenzenu nami niwe na usafiri, nimejikusanya sana kwa miaka saba sasa. Ila sina utalam wa magari.
Mwenye kujua anisaidie. Pamoja na utaalam nisaidieni pia nataka kujua.
1. Ulaji wa mafuta.
2. Upatikanaji wa spare parts.
3. Uimara wa injini.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Angalia kama kuna uwezekano tafuta corolla.... n gari ambayo spare zake n rahisi n hata mafuta utafurahii.....gari z kimaskini.....
 
Naomba ushauri ili mwenzenu nami niwe na usafiri, nimejikusanya sana kwa miaka saba sasa. Ila sina utalam wa magari.
Mwenye kujua anisaidie. Pamoja na utaalam nisaidieni pia nataka kujua.
1. Ulaji wa mafuta.
2. Upatikanaji wa spare parts.
3. Uimara wa injini.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Chukua Honda CRV hutojuta!!
 
Back
Top Bottom