K/kooZinapatikana wapi kwa hapa Dar
Panasonic wanajitahidi ngoja ntaenda Mlimani City kuifatilia hii!Hii nayo unaizungumziaje masta?View attachment 1906241
Nzuri huwa ni Onkyo, Sony, Pioneer, Denon, Klipsch hawa kama utapata brands zao za Hi-Fi ni nzuri!Brand gani nzuri ya Hi-fi
Eeh sijaiskiliza hii sound yakeHiyo hapo ni mlimani
Tanzania mia kwa mmoja anamiliki JBL original (sisemi hamna kabisa wapo),hawa jamaa ni wazuri sana kwenye sounds tatizo bei zao siyo friendlyZinapatikana wapi kwa hapa Dar