Ushauri: kati ya LG Hifi system na LG Home theatre ipi nzuri kwa matumizi ya nyumbani?

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,288
2,000
Naombeni ushauri wataalamu... nina machaguo mawili nataka kununua Lg x boom sound system ya watts 950 au Lg home theatre ya watts 1000 kati ya option hizo mbili mnanishauri nichukuwe ipi kwa matumizi ya nyumbani tu?

Lg x boom sound system ni Tshs 900,000 na Lg home theatre ni Tshs 850,000

Bei sio tatizo nazungungumzia ubora tu hapa ipi iko good kwa matumizi.

Screenshot_2021-08-23_141445.jpg
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
42,948
2,000
Naombeni ushauri wataalamu... nina machaguo mawili nataka kununua Lg x boom sound system ya watts 950 au Lg home theatre ya watts 1000 kati ya option hizo mbili mnanishauri nichukuwe ipi kwa matumizi ya nyumbani tu?

Lg x boom sound system ni Tshs 900,000 na Lg home theatre ni Tshs 850,000

Bei sio tatizo nazungungumzia ubora tu hapa ipi iko good kwa matumizi View attachment 1904678
Hio brand kwa sound sina imani nao sana naweza kusihi uchukue Home theatre mkuu atleast sababu ina watts 1000 perfomance inaweza ikawa ya kuridhisha ila hilo HI-FI limekaa kitapeli sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom