I J NJOVU
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,181
- 10,492
Habari wanajukwaa.
Kutokana na hali ya kiuchumi kuyumba wengi tunashindwa kununua gari za gharama. Husika moja kwa moja kwenye mada nahitaji ka luxury car ya bei ya kawaida.
Nimetumia week na zaidi katika kuchagua gari ninayoitaka ila nikapendezwa na hizi gari apo chini na bei zinafanana kwa kuwa zote mbili ziko around 16mil. ningependa mnipe mwongozo Kaka zangu
vs
Muumba akijalia week ijayo nilipie moja. nipeni mwongozo sijawahi kumiliki luxury car.