mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,643
- 9,745
Mkuu ulichoongea ni totally opposite.Wanafunzi wanaopata sup 'wengi' wao ni kiwango duni. Binti mwenye uwezo wa kati na kuendelea ili afelishwe, nusu ya darasa inabidi lifeli. Hakuna upuuzi wa hivyo, na hata ikitokea, hilo suala ana uwezo wa kulimaliza na kummaliza huyo mwalimu kwa kufuata taratibu za chuo. Japo nimesoma zamani, naamin mambo ni yale yale.
Binti ni Veta material, au diploma material, chuo anaenda kufanya nn? Walaumiwe walioua vyuo vya kati na FTC.
Kitu ulichoongea wewe ni mfumo wa sekondari kushuka chini.
Lakini mfumo wa chuo ni kwamba mwalimu wa somo amepewa mamlaka yote na ndio maana chuo hakunaga mtihani wa Taifa.
So hata uwe na akili kiasi gani au ukeshe kiasi gani mwalimu anaweza kukukamata akitaka.