Rabin
Senior Member
- Mar 21, 2009
- 181
- 39
Wadau habari,
Naomba ushauri kwa anayefahamu kampuni ya bima inayotoa huduma ya bima ya afya bila usumbufu na yenye mtandao mzuri na mkubwa wa mahospitali, nahitaji bima kwa ajili ya familia yaani baba mama na watoto. kama nikijua na gharama pamoja hatua (procedures) za kujiunga itakuwa vizuri zaidi. Asanteni