Ushauri: Kama ni wewe ungefanyaje?

muudy

Senior Member
May 25, 2013
156
22
Huyu binti nimewahi kumtongoza zaidi ya mara 5 na anakataa mpaka naamua kuachia ngazi. Ila cha kushangaza amenitumia ujumbe huu, mwanamke anahitaji kubembelezwa na usipofanya hivyo utampoteza.

Naombeni mawazo yenu
 
Sasa kipi usichoelewa hapo!?
A%20S-confused1.gif
A%20S-confused1.gif
 
ila hiki kizazi kina wanaume wapumbavu sana...unamtongoza demu mara tano ya kazi gani...ndo maana anakuona kimeo...alafu hapo unakuta mwingine anapigiwa simu akato....be wewe umelala tu
 
Kutongoza zaidi ya mara tano inasikitisha! Lakini kuambiwa na mwanamke huyo huyo nini ufanye ili usimpoteze halafu bado hujui cha kufanya inasikitisha na kusononesha Mara milioni!!!!
 
Kama unataka kula asali,bembeleza uko,haujamaliza kazi ,unaleta thread za malalamiko,kwani kip haujaelewa kutoka Kwa binti?no way out,bembeleza tuh.
 
Umemtongoza mara ngapi, wapi, saa ngapi kwa mfumo gani wala sio ishu. Unaweza ukatongoza hata mara milioni, huku ukibadiri mandhari, muda na mfumo ila bado jibu likawa lile lile. Ishu ni mbinu, ufundi, utaalamu, uhodari, manjonjo pasipo kusahau maarifa unayotumia katika hilo tendo la kumtongoza!

Kutongoza ni kazi ya kisanaa, inajumuisha matumizi ya fani na maudhui. Matumizi sahihi ya fani yanaifanya hadhira ipate maudhui uliyoyakusudia. Inaonekana hadhira ameelewa maudhui yako ila hajapendezwa na kipengele cha fani katika mtongozo wako.

Elewa mabinti wanapenda kudekezwa kiufundi, kubembelezwa taratibu, kupetiwa petiwa kwa uzuri, kufinyangwa finyangwa finywanga kwa upole ili watoe papuchi ila wewe hufanyi hivyo! halafu unataka ukubaliwe, we unaumwa nini?

unamtongoza kwa jazba utafikiri unamuombea mapepo! unamtongoza kwa nguvu utafikiri unapika ugali! unamtongozwa kwa maneno formal utafikiri unaandika official letter. Binti amechikizwa na mbinu zako hizo zilizopitwa na wakati, badilika mkuu.
 
Kutongoza zaidi ya mara tano inasikitisha! Lakini kuambiwa na mwanamke huyo huyo nini ufanye ili usimpoteze halafu bado hujui cha kufanya inasikitisha na kusononesha Mara milioni!!!!

Uanaume upo katika hatari kubwa kutokana na mawazo ya kivulana kama ya huyu jamaa. Kosa kutongoza zaidi ya mara tano, kosa jingine ni kutojua nini afanye, kosa linalofuata ni kuambiwa na huyo huyo mwanamke nini cha kufanya, kosa jingine ni kutojua huyo mwanamke anamaanisha nini na kosa kubwa zaidi ni kuja hapa kulalamika eti hamuelewi huyo mwanamke.
 
unaona sasa swali la kipumbavu hivi!
hivi huwa mnafikiri kwa kutumia nini?
wewe ambacho hujaelewa ni nini? umesoma fasihi?

unaujua upumbavu wewe? umeujua msingi wa swali langu au umekurupuka? unaijua fasihi wewe? au unadhani fasihi ina jibu moja kama hesabu? acha kutumia makalio kufikiri.
 
Kwani wewe ni kure wanako mwambia mwanamke hivi "turia nikurime wacha kukwepesa kwepesa"?
 
Wanawake bhana, huyo anakuletea mapenzi ya kihindi mpaka umuimbie nachi kwenye maua.
Muulize kama anakuhitaji au laa, kisha usonge mbele. Swagger za NATAKA SITAKI zishapitwa wakati
 
Back
Top Bottom