shamika
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 200
- 26
Bibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike sasa tumefungua kes balaza la ardhi mtuhumiwa anadai apimiw kwa vipimo vyake ambavyo kwa ekari anadai ni mita 70 kwa 70 ambapo itakuwa ekar ni SWA na mita za mraba elfu 4900 nasie tunadai ekari ni mita elfu 4000 za mraba lasivo waje wataalam na je nani yupo sahihi sisi ama yeye katika vipimo et