Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 342
- 162
Wana jf Habari za majukumu,niko Serengeti mkoa wa Mara na jishughulisha na kilimo ila kwa sasa nahitaji kufanya kisasa kidogo nahitaji kujenga green house ya mita 15 kwa 25 kwa ajiri ya nyanya au kufunga drip irrigation ukubwa wa shamba ni ekari 1 kwa ajiri ya nyanya msaada wa kipi kitafaa zaidi kwa ajiri ya nyanya na wapi naweza pata vifaa kwa ajiri ya drip irrigation kwa bei isio kuwa na madalali na wapi nitapata vifaa kwa ajiri ya green house hata kama ni nje nipe namna ya jinsi kutafuta ili niweze kununua na utofauti wa ubora wa material.