Ushauri juu ya blogu yangu mpya


Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
2,248
Likes
63
Points
145

Gurta

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
2,248 63 145
mimi si mtaalamu sana ila naamini una blog nzuri.

likes: 1. background color
2. mpangilio

disliked: 2. too many 'heavy' graphics therefore slow to load
2. title pale juu haionekani vizuri ( inathiriwa na mwanga hasa tilting ya screen kwa mimi ninaye tumia lappy

constructive critisism:
1. blog lazima ijieleze kikamilifu pale mwazoni inapofunguliwa. nini lengo lake? inaendesha na nani? nk. kwa hii yako sina hakika kama ni kwa ajili ya fnt designs au ubao wa kuonyesha kazi za designers unaowafahamu au wewe ndio huyu lukuxxxxx
2. je una lengo la kuonesha designs zilizofanyika (ambacho naona ndo unafanya) au kuzungumzia kuhusu graphics designs? trends? new skills? new styles? new tools? etc.
3. waangaliaji wakishaona unategemea wafanye nini? wakomenti? wanunue? wapakue? je wakiipenda kazi fulani wataoneshaje? etc.

kazi nzuri ila nikipata kuweka bundle kubwa zaidi basi nitaiangalia tena.
 

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Messages
5,299
Likes
714
Points
280

Slave

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2010
5,299 714 280
Hata mimi nimeipenda ila haijielezi pia hizo picha ungeziweka mahala ambapo mtu akizihitaji ana click.huo uwanja ambao ungebaki wazi ndo ungetumia kuitamburisha blogu yako.
 
Joined
Dec 10, 2010
Messages
41
Likes
1
Points
0

Simonsica

Member
Joined Dec 10, 2010
41 1 0
Its nice, av just been lookin' at it now. Great work, ni kuongeza juhudi na kujifunza toka kwa wataalamu zaid. Pia cheki google kwa ajili ya articles zinazo fundisha mbinu za ku blog na ku drive traffic kwenye website au blogsite yako. Upo mbali. My self i know nothing about blogin' ila najarib hvyo hvyo. Waweza icheki yangu pia ni Blög Sicä | Welcome to Blog Sica!!! Labda baadae mda unavyoenda ntajua zaid. Pam0ja
 

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Messages
3,905
Likes
1,049
Points
280
Age
68

Rungu

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2007
3,905 1,049 280
Kwanza nakupongeza kwa kipaji chako cha graphic design.

Maoni ya Gurta ni mazuri na kwa kuongezea haraka haraka:

1. Blog title - Hii ni muhimu sana ukifuatilia misingi ya SEO (Search Engine Optimization). Nikiangalia kwa sasa ni FnT Design. Ningekushauri uongezee kujieleza hapo, kwa mfano FnT Designs - 3D designs, cover, digital and traditional art in Tanzania. Kwa kufanya hivi unakava sehemu kubwa ya biashara yako.

2. Jaribu kuzipa picha zako majina yanayoeleweka, kwa mfano picha ya chaka chaka umeipa jina la chakachaks.png. Sahihi ingekua yvonne-chaka-chaka.png (this is one of the core optimizing principle, i.e, the use of alt tags in images).

3. Ukishakamilisha blog tafadhali jitahidi kuirejesta kwenye search engines kama google, yahoo n.k ili iweze kuonekana (kutafutika). Hilo ni duka lako kwa hiyo hutaki liishie vichochoroni!

Nitaifuatilia blog yako na kutoa ushauri zaidi. Keep up your good work!
 

Forum statistics

Threads 1,203,923
Members 457,037
Posts 28,135,268