Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi.

Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na wakakuondoa kwa mabavu.

Sasa kuna dalili kuwa hawakutaki kabisa na ni sababu ya kuw mwenyekiti wenu wa CCM hakutaki. Huu ndio wa kuja Chadema ili upate kick kama mtu unayepinga ufisadi. Karibu baba 2025 is near.
View attachment 2105447
Aanzishe CHAMA CHAKE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hana shida na Heshima na kama Pesa ni HESHIMA basi Ndugai anayo ya kutosha.

#CHADEMA na #ACT
Tumewashitukia na hizi mbinu zenu za kuwavizia wazee,wastaafu wa CCM na kuwamalizia au kuwafilisi viinua mgongo vyao.

Kumbukumbu za hivi karibuni ziko hivi.
Waliofilisiwa na Chadema.
1- Edward Lowassa.
2- Frederick Sumaye.
3- Makongoro Mahanga (R.I.P).

Na mhanga wa hivi karibuni ambaye hata ukimtajia ACT tu,analia ni

Bernard Camelius Membe.

Sasa mnaanza kum~pump na Mh,Ndugai ili aingie mkenge wenu!.

Huyu bado ni mheshimiwa mbunge wa Kongwa mpaka 2025.

Mleta anaandika topic as if Ndugai kavuliwa na ubunge pia.
 
Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi.

Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na wakakuondoa kwa mabavu.

Sasa kuna dalili kuwa hawakutaki kabisa na ni sababu ya kuw mwenyekiti wenu wa CCM hakutaki. Huu ndio wa kuja Chadema ili upate kick kama mtu unayepinga ufisadi. Karibu baba 2025 is near.
View attachment 2105447
Kwahiyo chadema ndio ya kupokea rejected products za ccm? Hawa uwa hawakai learn from the past..
 
Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi.

Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na wakakuondoa kwa mabavu.

Sasa kuna dalili kuwa hawakutaki kabisa na ni sababu ya kuw mwenyekiti wenu wa CCM hakutaki. Huu ndio wa kuja Chadema ili upate kick kama mtu unayepinga ufisadi. Karibu baba 2025 is near.
View attachment 2105447
Huwa hauna akili!Sasa,huyo akienda CDM ataenda kufanya nini?
 
Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi.

Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na wakakuondoa kwa mabavu.

Sasa kuna dalili kuwa hawakutaki kabisa na ni sababu ya kuw mwenyekiti wenu wa CCM hakutaki. Huu ndio wa kuja Chadema ili upate kick kama mtu unayepinga ufisadi. Karibu baba 2025 is near.
View attachment 2105447
Kwanini asiingie kwenye tawi lenu la ACT?
 
Back
Top Bottom