Ushauri: Jinsi ya kuupdate vyeti vyangu

Mi ningekushauri kabla hujafukuzwa na ni lazma ufukuzwe,nenda benki kakope pesa then upate pa kuanzia pindi utakapofukuzwa
 
Jiandae kuanza maisha mapya nje ya ajira maana hakuna namna.....vinginevyo utashitakiwa ww na huyo aliyekua mchumba wako kwa udanganyifu "NYIE NI MAJIPU"
 
Hahahahaha duuh! Kweli pamekabwa sasa naimani kuwa watu halili wa kufanyaa kazi Halali watapatikana.....mkuu wewe ni jipu moja kwa moja pia ni mfanyakazi hewa yaaani form 2 hahaha
 
Nashukuru wengine walionicheka wameliwa na janga la vyeti... nimeanza kujifua mwaka huu narudia mtihani wa form four... lazima nitafaulu unajua ni utoto tu lakini kichwa changu kizima....
 
ur not serious eti KWANI CHETI KINA UMUHIMU GANI? we umesha sema hakina umuhim asa una taka kuhangaikia ili iweje????
 
Wakuu nawaomba mnisamehe.. Naomba mnishauri,

Miaka sita iliyopita niliomba kazi ofisi ya serikali na kwa kuwa aliyekuwa mchumba wangu alikuwa rafiki wa mkurugenzi, haikuwa shida nikapata.

Nimeendelea kufanya kazi vizuri tu kwa miaka sita bila doa lolote.

Juzi nimeitwa kwa mkurugenzi mpya ananiambia vyeti vyangu sio halali.

Nimepewa wiki moja niwaletee vyeti original. Kusema kweli mimi sina hivyo vyeti kwani niliishia form two na mkurugenzi wa mwanzo analijua kwani yeye na Charles ndio walitafuta hiko cheti.

Nafikiria kuomba likizo isiyokuwa na malipo ili niweze kurudia mitihani ya form four.

Chondechonde, naomba mnishauri hii itawezekana? Je, kwa kuwa kazi naiweza hivi cheti kina umuhimu gani au ndio majungu yenyewe kwa kuwa nilikuwa namshab


Kama Umefanya Kaz Zaid Ya 5yrs Na Bd Unalalamika Yan Hujapata Mtaji Wa Biashara Au Hujasoma Ukapata Vyet Halali We Ni Kilaza Hata Hyo Kaz Upgwe Chin 2,,,,,UGUMU WA MAISHA KIPIMO CHA AKILI
 
Tupishe tu kama hujapata hata mtaji wa kuuza nyanya pole mkuu

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Ulikarishwa kwenye iko kitu kwa kujuana tu (KAMLETE) nyanyuka wenye sifa zao wakalie
 
Back
Top Bottom