Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.
Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.
Narudi kitandani.

Mzee wa infidelity naona unatetea kazi zako za nje a.k.a over time
odm umenifanya nicheke mwenyewe! Sisemi zaidi :hug:
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!
Mmoja tu kasheshe kwamba? Fanya utafiti kwako mwenyewe halafu extend to your fellow!...dah, mimi nawashangaa sana aisee. Mmoja tu kasheshe.
Nazjaz hebu soma hapo chini kwa kiswahiliAsprin the tiger shark ndio mzee wa infidelity.
Nakupenda na hicho kipaji chako cha kazi za nje na valuer na konyagi zako
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.
Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.
Narudi kitandani.
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.
Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.
Narudi kitandani.
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!
Babu shikamoo
Mie sijawahi kukataa point
yako hata siku moja lakini leo
imenibidi.....
Kama mwanaume
atakuwa na mwanamke
Zaidi ya moja na huyo mwanamke
lazima atakuwa na mwanaume zaidi ya
moja mfano kama uko na mke wa mtu na
we tayari unawako nyumbani
tayari huyo mwanamke ana wanaume wawili na we
Unawanawake wawili ..kwa hiyo huwezi sema ni malaya..
Marahaba kajukuu........Yap. Kama unabisha kayaulize majogoo, mabeberu, simba, nk nk......ulishawahi kuona mafahari wawili wamekaa zizi moja? Thats nature bana....mwanaume lazima amiliki bidhaa ya kike zaidi ya mojaShikamoo babu, necha kwa wanaume tu??
Marahabaa kajukuu...Babu shikamoo