ushauri jinsi ya kuridhika na mpenzi mmoja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri jinsi ya kuridhika na mpenzi mmoja.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kajuni, May 8, 2011.

 1. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Wana JF naomba ushauri wenu ni jinsi gani naweza tulia na mpenzi mmoja. Nimejikuta mpaka sasa hivi nina list ya msululu wa wapenzi na ugonjwa huu naona utanipeleka pabaya, ni meisha jaribu warefu, wanene, wembamba, wembamba sana sana, wanene sana, weupe, weusi lakini bado najikuta kila kukicha nikiona kitu kipya napagawa. Jamani naombeni ushauri.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha tamaa na jifunze kuuendesha matamanio yako badala ya kuyaacha yenyewe ndo yakuendeshe!!Kua na msururu wa wanawake sio sifa ni kutafuta magonjwa!
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Acha umalaya utazunguka bucha zote lkn nyama ni ile ile (zote zinatoa damu na ni nyekundu) sitaki maswali ktk hili
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Pepo wa ngono anakusumbua, ukilikwaa gono la mbwa ndio utatia displini
   
 5. t

  tatiana. Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kwa tatizo lako.
  watanzania tumekua tukichukulia kila kitu kua ni simpo na mtu anaamua kufanya na anaweza kuacha. in fact kuna mambo ambayo ni more psychological lakini watu wanaona mtu anafanya makusudi. mambo hayo ni kama uhuni uliokithiri, kukojoa kitandani, kunywa pombe au kuvuta sigara kupitiliza, kushindwa kudumu katika mahusiano, na mengine mengi. Hiyo ni imani potofu na imesababishwa na sisi kutojua kitu kinachoitwa Psychological disorders/ problems. Ninachoweza kukushauri kaka ni kutafuta msaada kwani tatizo lako laweza kua linasababishwa na unconscious mind yako genetically kwa hormones, sexual abuse, traumatic experience, au faulty ya cognition. kwa msaada tuandikie, psychologicalsupport@hotmail.com
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kama alivyosema mdau, wewe ni sexual addict. Unahitaji counselling, sijuhi kama kuna wataalamu Tz wa kurekebisha tabia.

   
 7. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanx kwa kutoa mwanga katika hili
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tanzania ikiwa na watu 100 kama wewe,tutaendelea sana!
  Wengine walikua wamesha anza kusema "umalaya" duh,...ndo maana watu wanakufa kimya kimya
  coz wakisema wataambiwa vingine!
   
 9. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,507
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jaribu siku moja na wewe wakupe kitu ndio utajua cha moto....... sina jingine umalaya tu huo
   
 10. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Kaka nitafanya hivo nashukuru sana kwa ushauri wako madhubuti naona wachangiaji wengine wamenishambulia lakini naona nina tatizo la kisaikologia.
   
 11. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Tatizo hili limenitawala mpaka nashindwa kuamini kwamba kuna uwezekano wa kuwa na mtu mmoja! actually i don't believe in monogamy??
   
 12. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Speaker nashukuru pia kwa kunipa nguvu kweli nimeamini kwenye msafara wa Mamba na Kenge wamo na ndo ivo nilivo ona hapa kuna wadau wanaichukulia hii hali yangu kama najitakia na wameniukumu kwa mie kuwa muwazi na nimeamua kuweka mambo hadharani nikijua JF kuna watu wanafikiri na watanipa ushauri. Big up Speaker!
   
 13. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Inaelekea wewe pia unatatizo kama langu weka wazi tupewe ushauri....mmhhh umejuaje?
   
 14. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Sidhani kama ni tamaa nafikiri kuna kitu zaidi ya hapo!
   
 15. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Cha muhimu ni kuandaa maziko yako tuu
   
 16. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Maria Roza ninakutamani sana jamani nitakuona vipi?
   
 17. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hee utatamanije dume lenzio :evil::evil:
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh! MR ni aje!?

   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahaha BAK huyu kiwembe wa nini mie :evil::evil::evil:
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ukishindwa kuwa huyu doctor basi jibu lako liko kwa Yesu peke yake,....wahi haraka sana
   
Loading...