Ushauri: Jinsi kuapply na kujilipia mwenyewe degree ya educatio

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Nina principle mbili na s moja. Nataka kusoma degree kwa kujilipia mwenyewe bila mkopo. Sababu naogopa kuaply kama nikikosa kuchaguliwa itabidi nisome diploma ndio maana nataka kujilipia degree ili icje ikanicost zaidi.

Naomba mniambie na vyuo ambapo naweza kusoma degree ya edu, ila nikimaliza nataka niunganishe masters. Ushauri
 
ni muhimu useme hizo principles ni za kiwango gani?tena arts au science?kumbuka kwa TANZANIA degree program nyingi ktk vyuo mbalimbali minumum entry qualification ni 3 subjects one S and Two principles pass zenye total point 4.5 kwa arts na 2.5 kwa kozi za science hasa ktk UALIMU ila ushindani ndio unaweza kukutoa au kukukosesha chuo kilicho maarufu!

Pia kwa utaratibu wa CENTRAL ADMISSION SYSTEM ni vigumu sana mtu kukosa chuo km ana kidhi vigezo(vyuo vipo vingi vinatofautiana umaarufu pengine hata ubora n
Where We Dare To Talk Openly
 
Ulisoma combi gani? Kama unania ya kusoma education,kuna uwezekano wa kupata loan! Bodi ya mikopo wamesema wanatoa kipaumbele kwa wale watakaoomba elimu na hususani elimu ktk masomo ya sayansi(100%) na wale wa arts(50%).Kigezo cha kwanza cha kukuwezesha kuapply chuo kikuu(as stated by TCU) ni kuwa na principals 2.

Kwa hyo wewe unavigezo vyote,ishu itakuja kwenye competition! Sijaelewa tatizo lako ni nini,kwani ukiomba mkopo alafu ukakosa,ndo utashindwa kujilipia mwenyewe?

Kama hutaki mkopo,omba chuo tu,uachane na mkopo. Kujua vyuo vya kuapply,tembelea website ya TCU(Tanzania Commission for Universities) alafu usome (Students guide book).
 
NGARAMBE kwa mtazamo wangu haiwezekani kusoma degree kwa ufaulu huo wa E mbili na S hata kwa kujilipia mwenyewe kwa kuwa vigezo haujatimiza,VIGEZO ni kwa vyuo vyote vya PRIVATE na PUBLIC
 
NGARAMBE kwa mtazamo wangu haiwezekani kusoma degree kwa ufaulu huo wa E mbili na S hata kwa kujilipia mwenyewe kwa kuwa vigezo haujatimiza,VIGEZO ni kwa vyuo vyote vya PRIVATE na PUBLIC

no usimkatishe tamaa, jaribu kuapply manually kwnye vyuo vya education.
Jaribu vyuo vyenye education kama vile MUCE, DUCE, MWUCE na vingine. Kama utakua interested na vyuo vya Moshi na Arusha ni PM ntakusaidia.
 
saidieni kwa huyu mwenye CHEM -E,BIOS -S NA GEOG -D Atapata chuo na mkopo kweli kwania anapenda asome education....MANY THANKS
 
dogo we apply mana kuna wana kibao tu wanasoma vyou tofauti na wana EE NA S usiogòpe au wakizingua njoo SAUT usome remedial
 
NGARAMBE kwa mtazamo wangu haiwezekani kusoma degree kwa ufaulu huo wa E mbili na S hata kwa kujilipia mwenyewe kwa kuwa vigezo haujatimiza,VIGEZO ni kwa vyuo vyote vya PRIVATE na PUBLIC

Tosha una maana gani kusema kwamba hana vigezo vya kupata chuo kabisa? Wewe ulisoma miaka gani?
 
Last edited by a moderator:
saidieni kwa huyu mwenye CHEM -E,BIOS -S NA GEOG -D Atapata chuo na mkopo kweli kwania anapenda asome education....MANY THANKS

Yap! Ana vigezo vinavyohitajika. Atafute "Students guidebook" asome kwa makini,achague programmes anazopenda,atapangiwa tu,hawezi kosa kabisa.
 
Msafiri acha kumrusha roho mimi nilipata alama km za ngarambe nikachaguliwa niko Muce nachukua hiyo education art napata mkopo wa kueleweka na naingia mwaka wa pili. Education hakosi mtu ila tu achague vyuo ambavyo havina competition
 
Msafiri Kasian acha kumrusha roho au wewe ulirushwa roho so hapa unamlipizia??????mimi nilipata alama km za ngarambe nikachaguliwa niko Muce nachukua hiyo education art napata mkopo wa kueleweka na naingia mwaka wa pili. Education hakosi mtu ila tu achague vyuo ambavyo havina competition
 
Wa Bagamoyo, km nikikosa nikija sauti kusoma remedial ndio inakuweje??? Ni diploma au degree maana cjaelewa
 
Msafiri Kasian acha kumrusha roho au wewe ulirushwa roho so hapa unamlipizia??????mimi nilipata alama km za ngarambe nikachaguliwa niko Muce nachukua hiyo education art napata mkopo wa kueleweka na naingia mwaka wa pili. Education hakosi mtu ila tu achague vyuo ambavyo havina competition

viane,heh! Umeninukuu vibaya! Ni post gani ambayo nimeandika na kumrusha roho ngarambe? Nipo makini sana,na mi mwenyewe ninafanya aplication mwaka huu na nimesoma vema "Students Guidebook for 2012/2013" na nimeelewa. Sasa hapa najaribu kumwelewesha,alafu unasema nimemrusha roho!
 
Last edited by a moderator:
Mtu ninayemshangaa kabisa ni Tosha, eti anadai kuwa ngarambe hawezi kupata chuo kabisa! Vigezo vilivyowekwa kwa form 6 leavers ni "a minimum of TWO(2) principals".Soma kwenye "Students guidebook 2012/2013" kwenye "preface" pg 7,yenye title "Minimum Entry Requirements into Higher Education Institutions",sasa Tosha,sikuelewi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom