Ushauri: Je, ni kweli unaweza kuoa mwanamke, damu zisipoendana asipate ujauzito?

emma shayo

Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
78
Points
0

emma shayo

Member
Joined Apr 10, 2015
78 0
Nina rafiki yangu wa karibu anaishi na mwanamke mwaka wa 4 hawajafanikiwa kupata mtoto na huyu mwanamke, ila kipindi cha nyuma kabla hajaishi nae alimpa mwanamke mwingine mimba na kabla hajaishi na huyu mwanamke alikuwa na mtoto.

Tatizo kubwa huyu toka aishi nae hajawahi pata mimba, rafiki yangu aliamua kutafuta mwanamke mwingine nje akazaa nae tena. Sasa Huyu mwanamke amekua mkorofi anasema mwanaume atakua ana matatizo na hao watoto watakua si wa kwake.

Hivi wandugu, unamshauri nini huyu mwanaume?
 

Forum statistics

Threads 1,379,662
Members 525,486
Posts 33,752,535
Top