Ushauri jamani,Ni kwa hii Allegy nifanyaje!!

Kante98

Member
Nov 26, 2018
15
13
Habari wana Jf!!
Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali.
Ahsante.
 
Habari wana Jf!!
Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali.
Ahsante.
Piga deki chumba chako mara kwa mara. Ila zaidi nenda pale Magomebi Ekenywa hospital ukapime hiyo aleji huenda kuna chakula pia hutakiwi kula.
 
Kama ni allergy itokanayo na vumbi, njia bora ni kujiepusha na mazingira yenye vumbi. Ila unaweza ukaenda hospital ukafanya kipimo cha Allergy kwa uchunguzi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kula korosho kila asubuhi kdg tu angalau kiganja kimoja kila siku kama wiki 3 mfullizo unaweza ukaona tofauti, mm imenisaidia sana kwangu ni tiba, usisahau kuleta mrejesho hapa
 
jamani naomba ushauri natokewa na vipele vinavyowasha mikononi na miguuni shida inaweza sababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom