Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.

Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.

Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu.

Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo zitajenga hospitali, shule na kusambaza maji vijijini.
View attachment 1873411
Mimi hata sioni faida ya kuwa na wabunge kabisa kwani wako pale kushibisha matumbo yao tu.
 
Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.

Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.

Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu.

Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo zitajenga hospitali, shule na kusambaza maji vijijini.
View attachment 1873411
Tunahitaji wabunge wasiozidi 150 tu!!!!
 
Wambunge 2 kila mkoa kwa jenda ingetosha.Kiukweli serikali ya CCM inazuia mchakato Katiba Bora kwa masilahi ya kundi dogo.
 
Wewe sijui uchumi wako ulisomea wapi!. Ukitaka ubane kila kona hivi mzunguko wa fedha utawafikiaje wananchi?. Nchi yenye wakazi zaidi ya milioni hamsini kuwa na wawakilishi zaidi ya mia NNE bungeni ni jambo muhimu sana. Sio kila jambo ni la kupinga tu bila tathmini ya kina.
 
Marekani ina population ya watu wangapi? na wabunge wapo wangapi? Tuletee data mkuu
 
Wabunge wawe hamsini tu,tufute ma DC na Ma RC,wabaki Ma RAS,na Ma DAS,mawaziri wawe 10 tu,sio kila waziri lazima apewe gari,
Waziri akienda mkoani,apande Ndege au basi,akifika mkoa husika,atapewa usafiri na ofisi ya RAS,au DAS,badala ya kutumia VX,V8,zitumike cruza mkonga,
Wakurugenzi wengine,watumie magari yao binafsi.Msafara wa Raisi ziwe gari nne tu.viongozi wengine gari tatu tu.
Mawaxo
Marekani ina population ya watu wangapi? na wabunge wapo wangapi? Tuletee data mkuu
Hiyo ni marekani na hii Tanzania. Hatuwezi kuiga kila kitu kama dodoki.
 
Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.

Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.

Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu.

Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo zitajenga hospitali, shule na kusambaza maji vijijini.
View attachment 1873411
Viti maalum vifutwe vinaongeza gharama isiyokua na tija. Vyama vya siasa vihimizwe kuhakikisha vinapata wagombea wa majimbo wenye kufaa bila kukosekana uwiano mzuri wa jinsia.
 
Back
Top Bottom