Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,276
- 18,350
Unaweza kuwa umeongea vitu vya maana ila unapohusisha utendaji kazi na maprofesa wa kibongo ni vituko vitupu hata Lijualikali anaweza kuwa na unafuuHii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas, petroleum products, and liquefied natural gas Tanzania.
Maeneo muhimu ambayo ningependa hii wizara ihusike nayo ni haya yafuatayo.
1. Exploration and exploitation of petroleum resources, including natural gas (methane, helium)
2. Production, supply distribution, marketing and pricing of petroleum including natural gas and petroleum products.
3. Oil refineries, including Lube plants and natural gas plants.
4. Natural gas utilization to get valuable products.
5. Additives for petroleum and petroleum products.
6. Lube blending and greases.
7. Planning, development and control of, and assistance to all industries dealt with by the Ministry.
8. Planning, development and regulation of gasfield and oilfield services.
9. Administration of various Central laws relating to Petroleum and Natural Gas.
Ningependa wizara ya nishati ishughurikie mambo ya kuzalisha, kusambaza na kuuza umeme.
Ishughurikie uzalishaji wa umeme kutoka vyanzo mbalimbali mfano maji, gesi, joto ardhi, upepo, jua, mawimbi ya bahari n.k.
Huo ndio ushauri wangu,
Ninahisi ikiwa hivi tutaipunguzia wizara ya nishati mzigo, na tutaongeza ufanisi na ukuaji katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.
Nina imani Prof. Muhongo amejifunza hawezi kufanya ujanja tena. Nimempendekeza yeye kwasababu bwana Muhongo ana passion na mambo ya mafuta na gesi kwa hivyo atafanya kazi kwa bidii ili kuendeleza sekta hii Tanzania.
Karibuni kwa maoni.