Zorrander
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 438
- 233
Habari wana jamvi!
Wadau mbalimbali wamekuwa wakija kuomba ushauri namna ya kuwafurahisha wapenzi wao (kuwafikisha kileleni) hasa wanawake kwa kuwa wamekuwa wakimaliza mapema mno.
Tatizo langu ni huu ushauri wanaopewa humu, binafsi siridhiki nao kabisa japokuwa mimi mwenyewe sina ushauri wowote.
Mfano: unashuriwa mchezee/romance kwa mda mrefu mpaka ukiona anakaribia kufika kileleni na wewe ndo uzame. Hata kama mtamaliza wote, unahisi utakuwa umemdhuru vya kutosha?
Sasa hebu fikiri mwanamke wako ni yule aliyelalamika humu jamvini mumewe hamdhuru, unafikiri utakuwa umemdhuru kwa ulimi na vidole?
Je, unahisi ushauri huu unajitosheleza? Au kuna njia nyingine?