Ushauri huu ni mzuri lakini si sahihi.

Zorrander

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
438
233
Habari wana jamvi!

Wadau mbalimbali wamekuwa wakija kuomba ushauri namna ya kuwafurahisha wapenzi wao (kuwafikisha kileleni) hasa wanawake kwa kuwa wamekuwa wakimaliza mapema mno.

Tatizo langu ni huu ushauri wanaopewa humu, binafsi siridhiki nao kabisa japokuwa mimi mwenyewe sina ushauri wowote.

Mfano: unashuriwa mchezee/romance kwa mda mrefu mpaka ukiona anakaribia kufika kileleni na wewe ndo uzame. Hata kama mtamaliza wote, unahisi utakuwa umemdhuru vya kutosha?

Sasa hebu fikiri mwanamke wako ni yule aliyelalamika humu jamvini mumewe hamdhuru, unafikiri utakuwa umemdhuru kwa ulimi na vidole?

Je, unahisi ushauri huu unajitosheleza? Au kuna njia nyingine?
 
Sasa we ushauri huna na ushauri wa ma champions huutakai? Sasa labda unatakaje, manake nimeshindwa kuelewa!!!!!!!
 
Kama wewe mwenyewe huna alternative piece of advice how come unacritisize yale waliyoshauri wenzako? Ukipinga ya wenzio unatakiwa utoe njia mbadala mkuu.Ni hayo tu!!!!!!!!!!!
 
Mimi nakushauri we piga viuno vingi tu, kama unaona hupendi kuwatia tia vidole watafika tu kileleni :biggrin1:
 
Sasa we ushauri huna na ushauri wa ma champions huutakai? Sasa labda unatakaje, manake nimeshindwa kuelewa!!!!!!!

ushauri unaotolewa siukatai hata kidogo, concern yangu ushauri huu hauotoshi kuokoa mahusiano ya mtu mwenye haya matatizo.

Mfano Lara 1 mtu anakulambalamba 2 hrs halafu ile anazama tu keshamaliza we utajisikiaje? Hapo huoni mdau anahitji ushauri zaidi?
 
Kama wewe mwenyewe huna alternative piece of advice how come unacritisize yale waliyoshauri wenzako? Ukipinga ya wenzio unatakiwa utoe njia mbadala mkuu.Ni hayo tu!!!!!!!!!!!

aisee mi sik-criticize idea za wadau, ila hazitoshi. Nia yangu ni kama kweli tuna nia ya kusaidia hawa watu ni lazima tuwape ufumbuzi sahihi kwa matatizo yao. Aisee unajua haya matatizo ni serious!
 
hapa ndo za mbayuwayu changanya na zako

1.Sio watu wote wanapenda kulambwa chumvin, so wakikuambia hivyo hapa lazima na ww uangalie huko unakoenda kufanyia reheso kama inakubalika.

2. kuna wengine ukimchezea na kumlalia kifuani bila hata kumpa mdushelele anaridhika kabisa ila wengine thubutuuuuuuu!!!!

3. so hapa chukua mautundu kutoka kwa wazoefu changanya na zako.

4. hapa hatumjui mchuchu wako km huwa anapenda nn, manake asiependa 0713.... huwezi mshaur sawa na mpenda 0713....
 
JF ni sehemu ya kukupa mwangaza tu, siyo kwamba kila kitu kinachoelezwa hapa jamvini lazima ukifanye, hapa JF wametuwekea another alternatively "PM" ni njia rahisi ya kupata ushauri kwa watu ulioona wanaushauri na mawazo mazuri zaidi.
 
Back
Top Bottom