Ushauri how to surprise a good looking shori nina date

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Wakuu nimepata kashori kasupu ile kishenzi katoto ka mjini mjini.....so tumepanga date....naombeeni ushauri nataka ni msuprise huyu shori....please ushauri nimsuprise niaje?
 
Nivigumu kumuelewa mwenye nia yakuto eleweka!

Shoriiiii?
shoriii?
 
We nawe ushazeeka ila bado umooo, SHORIIII ni swagga za KINAIII (NAIROBI MAANA BILA KUKUTAFSIRIA ISHU), Mambo ya Kasupu utayajulia wapii!!!? Mzee wa Ngara wewe!? Hizo mambo za lingala na genge tuachie watu wa westlands
 
Wakuu nimepata kashori kasupu ile kishenzi katoto ka mjini mjini.....so tumepanga date....naombeeni ushauri nataka ni msuprise huyu shori....please ushauri nimsuprise niaje?

Kademu kangu kasupu lol unanikumbusha wimbo wa Bamboo compee! Mnunulie vitz bwana na iphone5!
 
Sasa huyo Manzi wako mpya njia ya kumsuprise mbona raisi tu chali yangu.

Kwanza kabisa waweza mfata kwao ili umtoe dinner, si unajua manzi wa kisasa hawamaintain wala nini, na ujipange uzuriii, hawakawii ku oder Lobster au Iranian Caviar ukabaki watoa mijichoooo kama mjusi kabanwa na mlango. Ukiwa bado jicho limekutoka wakaagiza Moet kushushia ukakosa la kusema.

Kama uko na shortage ya cash basi take her for a movie, kuna cinema nyingi zina premier this month.
 
arifu acha utani aisee....vits sio kabisa mtu wangu.....iphone5 yah kidogo ila sidhani kama atakuwa surprised sana.....town mashori kibao washapewa surprise ya namna hiyo....visimu simu dizaini itakuwa haukamu
 
lol...hii ni surprise au ni reality? lol

Well...inategemea. Kama ni shori wa kishua hiyo itakuwa bonge la sapraizi. Ila kama ni wa uswazi kutakuwa hakuna jipya.

Hivi unadhani Manka au Koku wa Masaki ukiwapeleka kwa mama ntilie pale Magomeni kwa wauza mitumba karibu na Travertine hotel haitakuwa sapraizi kwao?

Lakini Zai au Habiba wa Magomeni Kondoa ukiwapeleka hapo wala hawatashangaa. Wapeleke Serena uone watavyokuwa sapraizd
 
Wakuu nimepata kashori kasupu ile kishenzi katoto ka mjini mjini.....so tumepanga date....naombeeni ushauri nataka ni msuprise huyu shori....please ushauri nimsuprise niaje?

Wewe, ndiye yule anayebabisha 'muwasho' au?
 
Well...inategemea. Kama ni shori wa kishua hiyo itakuwa bonge la sapraizi. Ila kama ni wa uswazi kutakuwa hakuna jipya.

Hivi unadhani Manka au Koku wa Masaki ukiwapeleka kwa mama ntilie pale Magomeni karibu na Travertine hotel haitakuwa sapraizi kwao?

Lakini Zai au Habiba wa Magomeni Kondoa ukiwapeleka hapo wala hawatashangaa. Wapeleke Serena uone watavyokuwa sapraizd

Na kumpeleka mtu sehemu anaweza feel out of place
au akaona unachezea pesa bora ungempa hiyo pesa afanyie la maana..
wadada wa uswazi we wapeleke show ya jahazi tu magomeni..bhaaas...lol
unampeleka Serena ataaanza piga mahesabu ya 'unamtoa vipi' lol
kama mna spend namna hiyo lol
 
Inaelekea hatutaelewana labda niwape intro ya haka ka shori.....ni hivi vitoto visomi visomi vitumiavyo BBM kwa saana kinajua movie,you whats up nyiingi kwa saana,sio wa kishua saana ila mboga nne zipo kwao.....kama viwanja avijua sana....nilifikiria nimpe bonge la suprise la nguvu runaway pale lakini mazingira pale ingekula kwangu....aisee kichwa kimeuma sijapata surprise wakuu
 
Basi kapeleke Mary Brown ya Mlimani City
 
Wewe, ndiye yule anayebabisha 'muwasho' au?
tupa kule hizo issue kwanza arifu....nipe help mkuu...naaibika aisee.... na haka kashori ninavyokajua niki bugi hapa kataniona wakuja kichizi....
 
Sasa huyo Manzi wako mpya njia ya kumsuprise mbona raisi tu chali yangu.

Kwanza kabisa waweza mfata kwao ili umtoe dinner, si unajua manzi wa kisasa hawamaintain wala nini, na ujipange uzuriii, hawakawii ku oder Lobster au Iranian Caviar ukabaki watoa mijichoooo kama mjusi kabanwa na mlango. Ukiwa bado jicho limekutoka wakaagiza Moet kushushia ukakosa la kusema.

Kama uko na shortage ya cash basi take her for a movie, kuna cinema nyingi zina premier this month.

Asisahau kondomu, idadi itategemea nguvu upiga mishindo, na akumbuke kondomu moja mshindo mmoja na si vinginevyo!!
 
Back
Top Bottom