Ushauri: Housegirl anataka nimuoe wakati aliishia Darasa la Tatu na miminatarajia mwakani nivae Joho la Degree

Tarakwa

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
663
1,000
Joho lako sio kitu kama huna elimu ya maisha ya kwenye jamii..Hiyo unayojidai kwamba unaenda kuivalia joho ni elimu ya makaratasi na yakukaririshana aina za maneno.

Endelea kuangalia elimu ya darasani kama ndio kigezo cha mtu sahihi then utajua hujui
 
Tarakwa

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
663
1,000
Kuna wakati sijilaumu kuishia darasa la kumi na nne.

Bora umesema unatarajia kuvaa joho, hicho ndio ulichokiambulia chuo.

Elimu ina umuhimu wake lakini sio sifa pekee na kigezo muhimu kwenye mahusiano. Vinginevyo ndoa za wasomi zingekua za kutolewa mfano wa kuigwa.
Well, thank you
 
big-diamond

JF-Expert Member
May 23, 2009
407
500
Nimeandika kama mara tatu lakini nafuta.

Jukumu la mke ni kumheshimu mumewe, Jukumu la mume ni kumpenda mkewe.

Kiasili (Japo kuna nyakati huwa si sahihi) sisi wanaume huwa ni watawala, Sasa oa mwenye joho mwenzio uone mziki wake. Baba kambale, Mama Kambale.

Lakini pia, hebu nipe namba ya huyo binti nimjulie hali
 
mswati52

JF-Expert Member
Jul 31, 2019
1,985
2,000
Kamatia hapohapo, oa akupendaye zaidi kuliko umpendaye zaidi.
Pili unataka kuoa joho au mke?
Mara nyongine ndoa haina kanuni, msomi aweza kuwa mke bora lakini asiyejua a wala b aweza kuwa bora zaidi na watu wakatamani kuwa na ndoa kama yake.
Aikiliza moyo na uaiangalie vidato
 
Tarakwa

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
663
1,000
Nimeandika kama mara tatu lakini nafuta.

Jukumu la mke ni kumheshimu mumewe, Jukumu la mume ni kumpenda mkewe.

Kiasili (Japo kuna nyakati huwa si sahihi) sisi wanaume huwa ni watawala, Sasa oa mwenye joho mwenzio uone mziki wake. Baba kambale, Mama Kambale.

Lakini pia, hebu nipe namba ya huyo binti nimjulie hali
Ahsante kwa Ushauri. Umjulie Hali tena?!
 
router

Member
Mar 23, 2016
82
125
Joho lako sio kitu kama huna elimu ya maisha ya kwenye jamii..Hiyo unayojidai kwamba unaenda kuivalia joho ni elimu ya makaratasi na yakukaririshana aina za maneno.

Endelea kuangalia elimu ya darasani kama ndio kigezo cha mtu sahihi then utajua hujui
Asipo kuelewa hapa...! Ushauri wa kiume sana umempa... Ni muhimu kujua unataka nini ktk maisha.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Tarakwa

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
663
1,000
Nimeandika kama mara tatu lakini nafuta.

Jukumu la mke ni kumheshimu mumewe, Jukumu la mume ni kumpenda mkewe.

Kiasili (Japo kuna nyakati huwa si sahihi) sisi wanaume huwa ni watawala, Sasa oa mwenye joho mwenzio uone mziki wake. Baba kambale, Mama Kambale.

Lakini pia, hebu nipe namba ya huyo binti nimjulie hali
Umenifumbua macho mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom