Ushauri: Housegirl anataka nimuoe wakati aliishia Darasa la Tatu na miminatarajia mwakani nivae Joho la Degree

Tulianza kukutana bombani, kadri siku zilivyosonga tukazoeana na akataka kupajua ghetto kwangu nikamwonyesha. Juzi kati akaniletea zawadi ya vest! Niliipokea lakini sikuivaa. Sasa nashangaa sijawahi kumkaribia kimwili lakini nimeshtushwa na kauli yake ya kuniomba nimuoe!

Mkuu hio ni characteristic ya wife material,,, Choose wisely

Utanishukuru baadae
 
Wakuu Habari za muda huu!

Tulianza kukutana bombani, kadri siku zilivyosonga tukazoeana na akataka kupajua ghetto kwangu nikamwonyesha. Juzi kati akaniletea zawadi ya vest! Niliipokea lakini sikuivaa. Sasa nashangaa sijawahi kumkaribia kimwili lakini nimeshtushwa na kauli yake ya kuniomba nimuoe!

Kusema kweli kwa muonekano ni mrembo na msafi na ana upeo mkubwa kiasi, changamoto imebaki kuwa ni elimu. Aliishia Darasa la Tatu wakati mimi natarajia mwakani nivae Joho la Degree.

Ushauri wenu tafadhali
Hivi mtu akiwa la tatu ananyang’anywa k au? Maana sielewi
 
Elimu sio kigezo, ila usimuamini saaana kama wengine wana jf wanavyokuaminisha kuwa huyo ndo mke bora, anaweza kubadilika akawa mcharuko ukashaa. Ongea na moyo wako
 
Wewe mjinga kweli huyo ndio mke sasa hawa wengine sumbua kchwa huyo ni wife material elimu itakusaidia wewe binafsi jiongeze wewe
 
Muoe ila jiandae kwa messages zenye mafua.. Yaani mayidianakupedasanamumewaguwafoa
"Yaani mayidianakupedasanamumewaguwafoa"

hahaha we jamaa sijui kwanini tumekucheleweshea kitambullisho chako cha NIDA, Miminimkulima kachekasana







nilopoingia JF mara ya kwanza nilikuwa napost picha kila siku
 
Mkuu hilo joho na vyeti vyako vya degree ya chuo unapanda navyo kitandani?
 
Tukiondoa ulivyosoma darasan kichwan mwako utabakiza na maji tu ata huyo unaesema ni darasa la 3 anakuzid akir ww umemzid elim tu.
 
Back
Top Bottom