Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Am I Crazy?, Sep 19, 2011.

 1. A

  Am I Crazy? Member

  #1
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF

  Naomba mnipe ushauri make nisije nikaingia choo cha kike.
  Nimebahatika kupata shule marekani nasoma masomo ya level ya masters na nategemea kumaliza mwakani inshallah Mungu akijaalia. Nimekuwa nikijiuliza swali hapo juu na nimeongea na marafiki zangu lakini misimamo inatofautiana huku wengine wakisema ati USA siku hizi hailipi na wengine wakisisitiza nisipoteze nafasi hii. Kwa kifupi nina nafasi ya wazi kufanya kazi(professional siyo box) US nikimaliza shule na naweza kuwa napata kati ya USD 70,000 na 90,000 kwa mwaka. Sasa machale yananicheza je niplan kukaa zangu US au nirudi kulijenga Taifa baada ya shule?

  Naombeni ushauri jamani kwa wenye experience na maisha ya sasa Marekani make niko njia panda.

  Ahsanteni sana
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mwamuzi ni dhamiri yako
   
 3. A

  Am I Crazy? Member

  #3
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kaka lakini ushauri huwa unasaidia sana kaka, kama una experience na ishu hizi naomba mtazamo wako
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Inategemea major yako ni ipi na unasoma chuo gani.
  Kama umebahatika kwenda kuifanya hiyo masters degree kwenye ivy league university e.g Harvard, UPenn ama Princeton etc., ama any elite university e.g Stanford, U-Chicago, MIT etc basi utakuwa na chances nzuri za kupata kazi nzuri yenye kukupatia 6-figures depending na major yako sababu most prominent employers wanawafuata wanafunzi wa vyuo hivi mashuleni
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hujaelezea uhakika wako wa kupata kazi bongo na range ya mshahara utakaokuwa unapata. Na pia hukop Marekani ni wapi hasa utakuwa ukiishi baada ya kumaliza shule na kuanza hiyo kazi!! Pia inategemeana na what is ur plan for future maana not alwayz money is the determinant. na X amont of money in New York thamani yake haitakuwa sawa na that X in Denver for example!

  Lakini all in all these days, kufanya kazi marekani, UK, kenya na hata Indonesia is just the same na mtu anayetokea kagera kwenda kufanya kazi Mtwara.
   
 6. A

  Am I Crazy? Member

  #6
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mkuu, chuo changu kipo kati ya top ten universities za marekani, so nina uhakika ni chuo kizuri sana ndo maana nikapigana kukichagua.
   
 7. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mind if ukitujulisha ni chuo gani hicho?
   
 8. A

  Am I Crazy? Member

  #8
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kwa research niliyofanya naona graduates wenye elimu kama nitakayokuwa nayo nikimaliza wanapata 4m-6m TZS per month kwa bongo. Tatizo kubwa ninaloliona ni mji wa kuishi make connections nilizonazo za kazi naona kuna uwezekano wa kupata kazi mji expensive kama New York, ndo maana machale yananicheza nisije nikafurahi nimeula kumbe nafanyia kulipa bili tu. Ofcourse mi plan yangu si kukaa ugaibuni milele,maisha yangu nayapanga tanazania lakini kwa sasa naangalia kujiweka sawa kimaisha kwanza maanake kutafuta njuruku zilipo.

  Nashukuru sana kwa ushauri wako
   
 9. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  New York is expensive kwa watu wenye kipato cha chini. Kama you make 6 figure salary say 200K a year, NY haitokuwa expensive kwako. Tena uta-enjoy sana life ya Big Apple.
   
 10. A

  Am I Crazy? Member

  #10
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sorry mkuu kutaja jina kabisa inakuwa ngumu, nataka kikae anonymous ili nipate ushauri usiokuwa na mlengo wowote. Ahsante sana kwa ushauri wako kaka, i appreciate.
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kama hujaoa na huna watoto $70k-90k ni mshahara mzuri. Kama unaishi NY huo mshahara baada ya kupata appartment na matumizi mengineyo
  hautakuwa mkubwa sana. Kwa kulinganisha, kama Tz utalipwa kati ya Sh/- millioni 4-hadi sita, rudi bongo baada ya masomo yako. You are in a better position to save money kwa mshahara huo Bongo kuliko NY. Lakini kama utapata kazi tuseme North Carolina, Georgia na majimbo mengineyo ya kusini huo ni mshahara mkubwa sana na utaweza kusave vya kutosha.
   
 12. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hiyo top 10 list of best MBA programs inabadilika kila siku. Sasa tuambie ili tukushauri. Sina nia ya kukubughudhi.
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  70K kwa big apple is nothing. Ni hela ya kawaida sana ama hela ya kula tu labda uende miji mingine kama alivyonena mkuu Jasusi
   
 14. A

  Am I Crazy? Member

  #14
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsate sana Vuvuzela, make napiga hesabu hapa tu nasoma lakini hela nayolipia rent room moja tu dola 1100, ndo maana nachanganyikiwa nisije nikacukua kazi nikashindwa hata kurudi nyumbani. Nimeanza kufikiria kuanalyze alternatives ya miji midogo lakini sina uhakika na kazi huko make sehemu ambayo nina uhakika ndo hivyo rum moja $1100. Nikifikiria kurudi bongo naona noma sana foleni mgao duh, jamani nyie mnaokaa huku maisha mnayaendeshaje? Tupeane maujuzi wana-kwetu
   
 15. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Good luck mkuu
   
Loading...