Ushauri: Hataki tupate mtoto, sijui ana maana gani

mrs fiance

JF-Expert Member
May 24, 2016
352
163
Mimi ni msichana nina mpemzi ambae nimedumu nae mda mrefu ila tunakaa kila mtu kivyake. Sasa mimi kwa kweli napenda niwe na mtoto sana.Nikamuomba mwenzangu tuzae mtoto cha kushangaza analeta sababu hata hazina maana. Mara ohooo!Nakuonea huruma wakati wa kuzaa,Mara oho! Mda bado, ananionea huruma wakati mimba nabeba mimi kweli.

Sina tabia ya kuchepuka tu na nimuaminifu kwake asilimia 100%.Laiti ningekuwa nachepuka ningeshampata pengine mwanaume ambae tunaweza tukafanya mambo ya maana.Kama kuoana na kupata mtoto.Maana huyu mpenzi wangu kwa tabia zake hizi nakuwa na mashaka nae kwa mfano mimi ninaweza nikaweka pic zake instagrm na ninazo ila yeye kuweka pic yangu moja tu ilikuwa ni ishu,mpaka tukagombana.

Kiukweli nilikuwa na imani nae sasa inaanza kupotea na naona anataka nianze japo mazoea na wanaume maana yeye anaeeza asinioe kwa hiyo hata nikimpata mwingine nimuache kama alivyo.Nimekuwa mwanamke kwake mpaka najishangaa ni mbinafsi hatari, mpaka nasema huyu kweli atanifaa?Hata kutambulishana rasmi hataki. Japo wazazi wanafahamu ile ya juujuu tu kwamba tunamahusiano.Na ina kama atanipotezea mda tu.
 
mm ni msichana Nina mpemzi ambae nimedumu nae mda mrefu ila tunakaa kila MTU kivyake. Sasa mm kwa kweli napenda niwe na Mtoto Sana. nikamuomba mwenzangu tuzae Mtoto. cha kushangaza analeta sababu hata hazina maana. Mara ohooo. nakuonea huruma wakati wa kuzaa, Mara oho mda bado,Ananionea huruma wakati mimba nabeba mm kweli.sina Tabia ya kuchepuka tu na nimuaminifu kwake asilimia 100%.Laiti ningekuwa nachepuka ningeshampata pengine mwanaume ambae tunaweza tukafanya mambo ya maana. Kama kuoana na kupata Mtoto.maana huyu mpenzi Wangu kwa Tabia zake hizi. nakuwa na mashaka nae.Kwa mfano mm ninaweza nikaweka pic zake instagrm ,na ninazo. ila yeye kuweka pic yangu moja tu ilikuwa ni ishu.mpaka tukagombana.kiukweli nlikiwa na imani nae Sasa inaanza kupotea.Na naona anataka nianze japo mazoea na wanaume maana yeye anaeeza asinioe kwa hiyo. hata nikimpata mwingine nimuache Kama alivyo.NIMEKUWA MWAMINIFU KWAKE MPAKA NAJISHANGAA.Na ni mbinafsi hatari, mpaka nasema huyu kweli atanifaa.?Hata kutambulishana rasmi hataki. japo wazazi wanafahamu ile ya juujuu tu kwamba tunamahusiano.Naina Kama atanipotezea mda tu.

Pole sana.
 
Back
Top Bottom