Uchaguzi 2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.

Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.

Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni mdini na mkabila lazima atashindwa vibaya sn
 
ANATAKA GWAJIMA AINGIE BUNGENI KWA UDI NA UVUMBA KWAKUA YEYE NDIO KIONGOZI WA KUNDI LINALOJIITA LA KUMLINDA MAGUFULI ..AMBALO HATA USALAMA WANAJUA ...KUNDI HILI LITAKUJA KUZAA KUNDI LA WAASI SIKU MAGUFULI AKIONDOKA MADARAKANI NA IKATOKEA KUWA ATAKAYEINGIA ATAKUWA SIO MTU WAO ....JAPO LENGO LA MKAKATI WAO LA KWANZA NI KUHAKIKISHA WANA MOBILIZE BUNGENI ILI AONGEZEWE MUDA WA KUKAA MADARAKANI

GWAJIMA NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA
 
Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.

Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.

Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.

Maendeleo hayana vyama!
Aisee sikujua kama Magufuli hapendwi kiasi hicho! Narudia tena sikujua!
Jana alisimama Tegeta kwa ndevu huwezi kuamini ila wakati yeye anahutubia mita chache tu watu wanaendelea na mishe zao tena mbaya zaidi wafanya biashara wa Tegeta sokoni wakawa wanamzodoa wakati anaongea. Boda boda waliokuwa wamepaki pembeni wakawa hata hawana habari.
Alikuwa na msafara mkubwa wa Coaster zimebeba wanaccm yani alipoondoka wala hakuna sijui shamra shamra wala nini!

Dah na mimi nilikuwepo hapo nikiwa na pilika pilika zangu ila nilishtuka nilipoona tukio lile.
 
Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.

Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.

Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.

Maendeleo hayana vyama!
Umeeleza vizuri ila mwisho hapo umekosea ,,huyo mayalla hafai kuwa kiongozi hata kuwa mwenyeki hafai kabisa
 
GWAJIMA NA MKAKATI HATARI WA MGAMBO WA MSITUNI - JE KUNA TAFSIRI GANI KWA MAFUGULI KUTUMIA NGUVU HADI MISHIPA KUMTOKA KUMPIGIA KAMPENI HADI ANAFOKA NA KULIAA???KUNA SIRI GANI

TBC fm

March 3 ·
Askofu Gwajima ahojiwa na Polisi.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima, kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini.
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, -Camillius Wambura amesema kuwa, kipeperushi hicho chenye picha ya Rais John Magufuli kimesambaa kwenye mitandao ya kijamii kikiwa na maandishi yanayosomeka kwa lugha ya kisukuma.
Ameongeza kuwa, Askofu Gwajima pia ametoa ujumbe wa sauti unaompongeza Rais na kuhamasisha wasukuma kurejesha utamaduni wao wa zamani wa kutumia lugha yao, kusaidiana katika shida na raha na kuwataka wasukuma kuunda vikundi kwenye mitandao ya kijamii vya watu elfu mbili kwa lengo la kufuatilia watu wanaomtukana Rais Magufuli na kuwashughulikia.
Katika ujumbe huo wa sauti Askofu Gwajima amewataka wasukuma wenye uwezo wa kifedha kuungana kwa pamoja kwa lengo la kuwasaidia wasukuma wasiojiweza ili kuondoa dhana ya kwamba wasukuma ni masikini na ni washamba.
Kufuatia jumbe hizo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemuhoji askofu Gwajima kutokana na jumbe hizo kuonekana kuhamasisha vitendo vya kikabila jambo ambalo linaweza kuwagawa Watanzania na kupelekea kuvunjika kwa amani na mshikamano wa Taifa utakaotokana na uwepo wa matabaka ya kikabila.
Baada ya mahojiano hayo, Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam limemuonya Askofu Gwajima kuacha mara moja vitendo vya kuligawa Taifa kwa kutumia vigezo vya ukabila na kutoa onyo kwa wote wenye nia ya kutaka kuligawa Taifa kwa njia ya ukabila, udini au ukanda.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi nchini imesema kuwa jeshi hilo halitamuonea haya mtu yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo vya aina hiyo na hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Limewataka Watanzania wote kuendeleza umoja na mshikamano uliopo bila kujali dini, kabila wala rangi ya mtu kama ambavyo baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyopinga vitendo vya kibaguzi na kuliunganisha kwa lugha ya Kiswahili. #tbcfmhabari#tbcfmtz #updates
 
Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.

Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.

Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.

Maendeleo hayana vyama!
Eti 'astaafu siasa' kwani Ni lini huyo pornstar alishawahi kuwa mwanasiasa ?

Akili maji kabisa wewe!
 
1602750933216.png
 
NI AIBU SANA KUWA HUYU MTUHUMIWA WA JESHI LA MSITUNI ...NDIO MAGUFULI ANATOKWA NA MISHIPA KUMPIGIA KAMPENI KULIKO MTU YEYOTE YULE .....KAMA SIO DALILI YA NIA OVU NI NINI .....TISS MNAMUACHAJE MTU KAMA HUYU?
 
Bwashee huyo mzee mauno akishinda karibu hapa jiji la kitalii Alexandria Masri nakulipia kila kitu

Back
Top Bottom