Ushauri Gari la Kununua

Forty Seven

Member
Nov 5, 2017
23
39
Wakuu habari?

Mda umefika sasa na mimi nataka kuvuta ndinga. Sina uzoefu wa magari ila nimepitia forums na site nyingi na pia kuuliza uliza kwa watu angalau nipate mwanga. Nimefika conclusion ya research yangu ila sasa nina magari mawili ambayo yananitatiza lipi litanifaa zaidi.

1. BMW 1 Series 116i (2007 - 2011)
2. IST 2nd Generation (New Model)

Kipato changu ni cha kati. Najua haya ni magari mawili tofauti ila ningependa kujua comparison yao kupitia hzi factor:
1. Performance
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfortability
5. Safety

Najua BMW itakuwa imeipita vitu vingi hapo IST ila nataka "real world data" mfano kama ni ishu ya economy bmw inaizidi wapi ist na kwa kiwango gani maana unaweza kuta bmw inakula mafuta lita moja zaidi ya ist ila mtu mwingine anachukulia big deal na kusema bmw inakula mafuta sana so anakushauri uchukue ist kumbe unakuta ni hiyo factor moja tu ndogo bmw ndo imezidiwa na ist lakini factor zingine zote ist imezidiwa.
Kama ni ishu ya service na spare parts basi zilinganishe zote.

Cha muhimu hapa ni kuwa nataka kuangalia cons na pros za gari zote mbili then niangalie ipi naweza kuvumilia cons zake na kuenjoy pros zake maana najua hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro ila uzuri umezidiana.

Nawasilisha.

Karibuni.
 
Mkuu hongera.
Kila kitu hapo atashinda BMW kasoro ilo la 2 tu. Kwa mwaka uliotaja nadhani BMW ni E87 116i hatchback ndio ipo kwenye range hiyo ya miaka.

Tuanze na bei ya kununulia.
Tukiacha CIF za hayo magari, ila BMW itakucost Mil 9 kulipia TRA wakati IST itakugalimu Mil 5 tu. Kwahiyo angalia na ilo swala. Ingawa yote mawili CIF zao hazitatofautiana sana.

Ulaji wa Mafuta.
IST haili sana wese kwakua engine yake ndogo, 1.5L wakati BMW atakua na 1.6L hadi zipo za 2.0L, 3.0L na 2.0L Diesel, kutokana na model. Ila kama mimi nitashauri uchague la engine size ndogo kabisa.
BMW_E87_front_20080719.jpg

IST 1.5L itaenda arround 13km/L highway wakati mjini itakua arround 10km/L wakati BMW highway itakua arround humo humo kwa highway except mjini tegemea 9km/L.

Spare zipo sana kila sehemu so usiwe na wasiwasi kwa BMW. IST pia spare zake zitakuwepo ingawa model hiyo mpywa sio nyingi ila zitapatikana tu kijana.

USHAURI

Kama ni first car, dah napenda sana nikushauri uchukue IST gari la kwanza umiza kichwa sana. Ila kama umewahi miliki gari kwa miaka miwili hivi before, chukua BMW 116i hutojuta ni very comfortable, luxury, na kuhusu ugumu, BMW ndio SI unit.

BMW_E87_front_20080719.jpg
 
hivi umezingatia barabara zetu kabla ya kufikia maamuzi. Sawa bmw series 1 ni gari zuri ila kwa barabara zetu hizi utaua bampa muda c mrefu. Pia kwa ist new model mpya hii gari bei yake iko juu afu iko chini sana na haina tofauti na ist model ya zamani. Nakushauri kwa bajeti yako jaribu kutafuta gari ya juu kidogo mkuu
 
Mkuu hongera.
Kila kitu hapo atashinda BMW kasoro ilo la 2 tu. Kwa mwaka uliotaja nadhani BMW ni E87 116i hatchback ndio ipo kwenye range hiyo ya miaka.

Tuanze na bei ya kununulia.
Tukiacha CIF za hayo magari, ila BMW itakucost Mil 9 kulipia TRA wakati IST itakugalimu Mil 5 tu. Kwahiyo angalia na ilo swala. Ingawa yote mawili CIF zao hazitatofautiana sana.

Ulaji wa Mafuta.
IST haili sana wese kwakua engine yake ndogo, 1.5L wakati BMW atakua na 1.6L hadi zipo za 2.0L, 3.0L na 2.0L Diesel, kutokana na model. Ila kama mimi nitashauri uchague la engine size ndogo kabisa.
View attachment 699112

IST 1.5L itaenda arround 13km/L highway wakati mjini itakua arround 10km/L wakati BMW highway itakua arround humo humo kwa highway except mjini tegemea 9km/L.

Spare zipo sana kila sehemu so usiwe na wasiwasi kwa BMW. IST pia spare zake zitakuwepo ingawa model hiyo mpywa sio nyingi ila zitapatikana tu kijana.

USHAURI

Kama ni first car, dah napenda sana nikushauri uchukue IST gari la kwanza umiza kichwa sana. Ila kama umewahi miliki gari kwa miaka miwili hivi before, chukua BMW 116i hutojuta ni very comfortable, luxury, na kuhusu ugumu, BMW ndio SI unit.

View attachment 699112
Kijana kwa ushauli hakika umejitahidi safi sana kijana
 
Nimeona Magari yafuatayo.
NISSAN FUGA
TOYOTA CROWN
MARK X

Naomba ushauri. Je Gari lipi kati ya Hayo naweza kushauriwa kununua? Napanga kutumia gari hilo Arusha, and kwa safari kadhaa miko tofauti tofauti.

Msingi zaidi kwangu ni ;
1. Performance---Speed.
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfortability
 
Wakuu habari?

Mda umefika sasa na mimi nataka kuvuta ndinga. Sina uzoefu wa magari ila nimepitia forums na site nyingi na pia kuuliza uliza kwa watu angalau nipate mwanga. Nimefika conclusion ya research yangu ila sasa nina magari mawili ambayo yananitatiza lipi litanifaa zaidi.

1. BMW 1 Series 116i (2007 - 2011)
2. IST 2nd Generation (New Model)

Kipato changu ni cha kati. Najua haya ni magari mawili tofauti ila ningependa kujua comparison yao kupitia hzi factor:
1. Performance
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfortability
5. Safety

Najua BMW itakuwa imeipita vitu vingi hapo IST ila nataka "real world data" mfano kama ni ishu ya economy bmw inaizidi wapi ist na kwa kiwango gani maana unaweza kuta bmw inakula mafuta lita moja zaidi ya ist ila mtu mwingine anachukulia big deal na kusema bmw inakula mafuta sana so anakushauri uchukue ist kumbe unakuta ni hiyo factor moja tu ndogo bmw ndo imezidiwa na ist lakini factor zingine zote ist imezidiwa.
Kama ni ishu ya service na spare parts basi zilinganishe zote.

Cha muhimu hapa ni kuwa nataka kuangalia cons na pros za gari zote mbili then niangalie ipi naweza kuvumilia cons zake na kuenjoy pros zake maana najua hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro ila uzuri umezidiana.

Nawasilisha.

Karibuni.
Achana na ma toyota nunua gari liko comfortable bmw
 
mkuu kwanza kufananisha hayo magari mawili ni sawa na kufananisha tecno na iPhone toleo jipya..
ila kwa ushauri kama ndiyo unayaanza maisha nenda kwenye ist coz huko nasikia spea ni za mafungu kama nyanya...pia ulaji mdogo wa mafuta coz injini ni ndogo....ila kama kipato kinaruhusu nenda kwenye kitu cha mzungu hutojuta...kwanza unakuwa tofauti na hawa wenye vi ist sare sare kama sketi za shule
 
Huu utani wa ngumi mkuu :D:D:D
 
Wakuu habari?

Mda umefika sasa na mimi nataka kuvuta ndinga. Sina uzoefu wa magari ila nimepitia forums na site nyingi na pia kuuliza uliza kwa watu angalau nipate mwanga. Nimefika conclusion ya research yangu ila sasa nina magari mawili ambayo yananitatiza lipi litanifaa zaidi.

1. BMW 1 Series 116i (2007 - 2011)
2. IST 2nd Generation (New Model)

Kipato changu ni cha kati. Najua haya ni magari mawili tofauti ila ningependa kujua comparison yao kupitia hzi factor:
1. Performance
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfortability
5. Safety

Najua BMW itakuwa imeipita vitu vingi hapo IST ila nataka "real world data" mfano kama ni ishu ya economy bmw inaizidi wapi ist na kwa kiwango gani maana unaweza kuta bmw inakula mafuta lita moja zaidi ya ist ila mtu mwingine anachukulia big deal na kusema bmw inakula mafuta sana so anakushauri uchukue ist kumbe unakuta ni hiyo factor moja tu ndogo bmw ndo imezidiwa na ist lakini factor zingine zote ist imezidiwa.
Kama ni ishu ya service na spare parts basi zilinganishe zote.

Cha muhimu hapa ni kuwa nataka kuangalia cons na pros za gari zote mbili then niangalie ipi naweza kuvumilia cons zake na kuenjoy pros zake maana najua hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro ila uzuri umezidiana.

Nawasilisha.

Karibuni.
Kwanini unafananisha gari (BMW) na usafiri wa kuhongwa (IST)?
 
Back
Top Bottom