Forty Seven
Member
- Nov 5, 2017
- 23
- 39
Wakuu habari?
Mda umefika sasa na mimi nataka kuvuta ndinga. Sina uzoefu wa magari ila nimepitia forums na site nyingi na pia kuuliza uliza kwa watu angalau nipate mwanga. Nimefika conclusion ya research yangu ila sasa nina magari mawili ambayo yananitatiza lipi litanifaa zaidi.
1. BMW 1 Series 116i (2007 - 2011)
2. IST 2nd Generation (New Model)
Kipato changu ni cha kati. Najua haya ni magari mawili tofauti ila ningependa kujua comparison yao kupitia hzi factor:
1. Performance
2. Economy (Service, Spare parts, Fuel)
3. Durability
4. Comfortability
5. Safety
Najua BMW itakuwa imeipita vitu vingi hapo IST ila nataka "real world data" mfano kama ni ishu ya economy bmw inaizidi wapi ist na kwa kiwango gani maana unaweza kuta bmw inakula mafuta lita moja zaidi ya ist ila mtu mwingine anachukulia big deal na kusema bmw inakula mafuta sana so anakushauri uchukue ist kumbe unakuta ni hiyo factor moja tu ndogo bmw ndo imezidiwa na ist lakini factor zingine zote ist imezidiwa.
Kama ni ishu ya service na spare parts basi zilinganishe zote.
Cha muhimu hapa ni kuwa nataka kuangalia cons na pros za gari zote mbili then niangalie ipi naweza kuvumilia cons zake na kuenjoy pros zake maana najua hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro ila uzuri umezidiana.
Nawasilisha.
Karibuni.