Ushauri fani ya mtu mwenye diploma ya uuguzi kujiendeleza kwa ngazi yoyote

May 8, 2019
19
15
Naomba ushauri wa kujiendeleza kwa mtu mwenye fani ya stashahada ya uuguzi na ukunga na fani hiyo ya kujiendeleza iwe tofauti kabisa na career ya uuguzi au ukunga
 
Duh mkuu kwa hapo inakua ngumu kwa maana vigezo vya TCU kwa waliotoka diploma wanatakiwa na degree wakasomee walivyosomea diploma

kwahyo hapo lazima uiendeleze hiyo field degree huwezi somea tofauti na ulichosomea diploma
 
Shukran mkuu
 
Unaweza kwenda fani nyingine kama degree ya usingizi, katibu wa afya na nyinginezo but kwa upande wa udaktari na ufamasia usahau kwa hilo
 
Back
Top Bottom