Hawezi kubali kuweka heshima yake lehani!!Amekuwa kwenye hiyo sekta muda mrefu, ana uzoefu wa kutosha. Hili mnalionaje?
Amekuwa kwenye hiyo sekta muda mrefu, ana uzoefu wa kutosha. Hili mnalionaje?
Ni tofauti sana, Marekani imekomaa kitaasisi na huwezi kujihusisha na biashara ukiwa mamlakani.Je, atamzidi Trump?mwenye viwanda mia kadhaa nchini mwake? Hoja kubwa ni tutakavyotafsiri sera na sheria zetu za uongozi.
Je, atamzidi Trump?mwenye viwanda mia kadhaa nchini mwake? Hoja kubwa ni tutakavyotafsiri sera na sheria zetu za uongozi.Na mgongano wa kimaslahi unakuwaje hapo?
Ukitaka kula kuku,angalia ubora wa nyama yake,usiangalie saana alichokula!hutaila.Je, unazijua sifa nzuri na mbaya alizokuwanazo wakati akiwa mwenyekiti wa NEMC? Kama unazijua zipi kati ya nzuri na mbaya zilikuwa nyingi?
Kwa sheria zipi?Wabunge wa kuteuliwa wanaume wameshaisha,labda awe na matitiAmekuwa kwenye hiyo sekta muda mrefu, ana uzoefu wa kutosha. Hili mnalionaje?
Tatizo la Tanzania si mawaziri , ni aliye juu , labda kama umedhamiria kumdhalilisha Mzee Mengi .Amekuwa kwenye hiyo sekta muda mrefu, ana uzoefu wa kutosha. Hili mnalionaje?
Kwa nini? Tujuze.