Ushauri: Dr. Reginald Mengi ateuliwe ubunge na awe Waziri wa Viwanda na Biashara

Amekuwa kwenye hiyo sekta muda mrefu, ana uzoefu wa kutosha. Hili mnalionaje?

Je, unazijua sifa nzuri na mbaya alizokuwanazo wakati akiwa mwenyekiti wa NEMC? Kama unazijua zipi kati ya nzuri na mbaya zilikuwa nyingi?
 
Je, atamzidi Trump?mwenye viwanda mia kadhaa nchini mwake? Hoja kubwa ni tutakavyotafsiri sera na sheria zetu za uongozi.
Ni tofauti sana, Marekani imekomaa kitaasisi na huwezi kujihusisha na biashara ukiwa mamlakani.
 
Na mgongano wa kimaslahi unakuwaje hapo?
Je, atamzidi Trump?mwenye viwanda mia kadhaa nchini mwake? Hoja kubwa ni tutakavyotafsiri sera na sheria zetu za uongozi.
Je, unazijua sifa nzuri na mbaya alizokuwanazo wakati akiwa mwenyekiti wa NEMC? Kama unazijua zipi kati ya nzuri na mbaya zilikuwa nyingi?
Ukitaka kula kuku,angalia ubora wa nyama yake,usiangalie saana alichokula!hutaila.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom